Level ziko ngapi??

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Hello..
Jamani nauliza tu..
Mpaka kuwa raisi wa kijiji forum unapitia level ngapi??
Maana sasa hivi nipo platinum ina maana kwamba napanda juu na kampuni ikiwa na raisi ina maana mwenye hisa nyingi ndo anamiliki kijiji forum,mimi hisa zangu zishafikia platinum au sio moderator??
Level nilizopitia mpaka sasa.
1:villager
2 active villager
3:platinum villager
4:omo baba lowo(mod)
5:mshamba mkuu(mod)
6:kijiji forum(official accounts)
7:hakimu(k.f founder)
8:GILLY(K.F FOUNDER&PRESIDENT)

Ebu nisaidieni bado level ngapi niwe president??
Au inakuwaje kama sijaelewa vile 😜😜
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113

4:eek:mo baba lowo(mod)

Aisee level ya uraisi labda uanzishe forum yako 😀

ushauri tu
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
nadhani Gily kashapata chawa wake wa KF
Unamchokoza akujibu umpige ban au sio

Kuhusu moderators
Moderators unaweza fikia level hiyo. Unaweza kuwa mod ila sasa mods wako volunteering. Hawa waliopo hawajaajiriwa na Kijiji na mda wowote wanaweza fukuzwa kazi kwa makosa yeyote hususani ya utomvu wa maadili

Platinum Membership
Hii unapewa kwa wale watu ambao wameonyesha mchango mkubwa kuikuza Kijiji. Hawa wako protected na BAN na wakikosea sana wanapigwa ban fupi sana hata nusu saa.

Hatutegemei Platinum members wawe vichocheo vya kuvunja amani humu ndani.
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525

au alipie tu apewe

uskute fogo huyo
 
Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Hello..
Jamani nauliza tu..
Mpaka kuwa raisi wa kijiji forum unapitia level ngapi??
Maana sasa hivi nipo platinum ina maana kwamba napanda juu na kampuni ikiwa na raisi ina maana mwenye hisa nyingi ndo anamiliki kijiji forum,mimi hisa zangu zishafikia platinum au sio moderator??
Level nilizopitia mpaka sasa.
1:villager
2 active villager
3:platinum villager
4:eek:mo baba lowo(mod)
5:mshamba mkuu(mod)
6:kijiji forum(official accounts)
7:hakimu(k.f founder)
8:GILLY(K.F FOUNDER&PRESIDENT)

Ebu nisaidieni bado level ngapi niwe president??
Au inakuwaje kama sijaelewa vile 😜😜
Mkuu hii ni bizness hivyo u president haugaiwi ovyo ovyo
 
Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Unamchokoza akujibu umpige ban au sio

Kuhusu moderators
Moderators unaweza fikia level hiyo. Unaweza kuwa mod ila sasa mods wako volunteering. Hawa waliopo hawajaajiriwa na Kijiji na mda wowote wanaweza fukuzwa kazi kwa makosa yeyote hususani ya utomvu wa maadili

Platinum Membership
Hii unapewa kwa wale watu ambao wameonyesha mchango mkubwa kuikuza Kijiji. Hawa wako protected na BAN na wakikosea sana wanapigwa ban fupi sana hata nusu saa.

Hatutegemei Platinum members wawe vichocheo vya kuvunja amani humu ndani.
🤣🤣🤣🤣 Aisee mshamba_mkuu umeona tunavyoonekana huku.

Tuwe makini kf ikinitupa sijui ntaenda wapi maana jjf kule mmmh. Mungu tu anajua nachofanya
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Unamchokoza akujibu umpige ban au sio

Kuhusu moderators
Moderators unaweza fikia level hiyo. Unaweza kuwa mod ila sasa mods wako volunteering. Hawa waliopo hawajaajiriwa na Kijiji na mda wowote wanaweza fukuzwa kazi kwa makosa yeyote hususani ya utomvu wa maadili

Platinum Membership
Hii unapewa kwa wale watu ambao wameonyesha mchango mkubwa kuikuza Kijiji. Hawa wako protected na BAN na wakikosea sana wanapigwa ban fupi sana hata nusu saa.

Hatutegemei Platinum members wawe vichocheo vya kuvunja amani humu ndani.
Kumbe.mod nitapata sasa siufanye kuwatimua hao maana hawajaweka kitufe cha kuedit kama ukikosea kuandika
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Hakimu shikamoo
President ni nafasi inayotolewa kwa wamiliki tu.

Kama ukiwa mmoja wa wamiliki unaweza pata u president.

Gily owns 50%
Hakim owns 50%

Ikitokea ukauziwa umiliki Kati yetu au ukamwaga hela ndefu unaweza kuwa president wa Kijiji...
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Hakimu shikamoo
Hello..
Jamani nauliza tu..
Mpaka kuwa raisi wa kijiji forum unapitia level ngapi??
Maana sasa hivi nipo platinum ina maana kwamba napanda juu na kampuni ikiwa na raisi ina maana mwenye hisa nyingi ndo anamiliki kijiji forum,mimi hisa zangu zishafikia platinum au sio moderator??
Level nilizopitia mpaka sasa.
1:villager
2 active villager
3:platinum villager
4:eek:mo baba lowo(mod)
5:mshamba mkuu(mod)
6:kijiji forum(official accounts)
7:hakimu(k.f founder)
8:GILLY(K.F FOUNDER&PRESIDENT)

Ebu nisaidieni bado level ngapi niwe president??
Au inakuwaje kama sijaelewa vile 😜😜
Level zipo nyingi si hizo tu ila kwenye uprezident Gily ndio muhusika
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Uko vinzuri big up
Happy Little Kids GIF by NBC
 
Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
Unamchokoza akujibu umpige ban au sio

Kuhusu moderators
Moderators unaweza fikia level hiyo. Unaweza kuwa mod ila sasa mods wako volunteering. Hawa waliopo hawajaajiriwa na Kijiji na mda wowote wanaweza fukuzwa kazi kwa makosa yeyote hususani ya utomvu wa maadili

Platinum Membership
Hii unapewa kwa wale watu ambao wameonyesha mchango mkubwa kuikuza Kijiji. Hawa wako protected na BAN na wakikosea sana wanapigwa ban fupi sana hata nusu saa.

Hatutegemei Platinum members wawe vichocheo vya kuvunja amani humu ndani.
Heee!! Kumbeee
 
Similar threads

Je katika mchoro huu kuna pembe tatu ngapi?
Replies
3
Views
307
Chidola na Chilemba ni watoto mapacha. Kesho Chidola atasherekea siku yake ya 5 ya kuzaliwa. Chilemba yeye itabidi asubiri mpaka mwaka ujao pale atakapofikisha umri wa miaka mitano ndio asherekee siku yake ya kuzaliwa. Je, Leo ni tarehe ngapi?
Replies
3
Views
587
Binti Kidawa alikwenda dukani kununua mkate na noti ya 1000. Akakuta mkate unauzwa 700, akatoa elfu 1 na kumpa muuzaji. Muuzaji hakuwa na chenji ikabidi akaombe chenji dukani kwa Manka. Baada ya muda kidogo Binti Kidawa akarudi kwa muuza duka na kumwambia noti ya elfu 1 aliyompa ni feki. Muuza...
Replies
11
Views
276
Mwanamke mmoja aliingia Dukani na kuiba Sh.100 bila mwenye Duka kujua. Baada ya dk5 akarudi na kununua kitu chenye thamani ya Sh.70 kwa kutumia ile hela aliyoiba. Mwenye duka akamrudishia chenji ya Sh.30 Mwenye Duka Kapoteza Sh. Ngapi? A: 30 B: 70 C: 100 D: 130 E: 170 F: 200
Replies
1
Views
169
  • Question Question
Watu wengine wanafikiri kwamba si lazima kuota kila siku. Wengine wanasema kwamba kuoga kila siku nyingine (au hata vipindi virefu) ni sawa. Nani yuko sahihi na ni nani anayenyonya tu? Tabia ya mtu ya kuoga hutegemea Mazoezi. Ikiwa tunafanya mazoezi kwa nguvu au kucheza michezo kila siku...
Replies
7
Views
417

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom