Mahakama Mbeya yatupilia mbali kesi ya Bandari walalamikaji kukata rufaa

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.

Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na matakwa ya Katiba.

Akisoma Hukumu hiyo Jaji Dastan Ndunguru amesema baada ya jopo la majaji wa tatu kusikiliza pande zote mbili mahakama imeamua kuwa hoja zote sita hazina mashiko hivyo kuamua kuwa Mkataba wa IGA hauna dosari za kufanya usitekelezwe.

Misingi minne ilianishwa kwenye malalamiko hayo ni:

- Mkataba kuridhiwa bila kuutoa kwa uma na muda wakushiriki kwa wananchi.

- Mkataba wa IGA uliosainiwa unakiuka sheria.

- Mkataba ni kinyume na maslahi ya umma na rasilimali za umma.

- Mkataba unahatarisha usalama wa nchi kwa baadhi ya vifungu.

Akiongea na waandishi wahabari Wakili wa walalamikaji Bonifasi Mwabukusi amesema wanajipanga kwenda kukata rufaa kwani hawajakubaliana na uamuzi wa mahakama.

BBC Swahili
 
Watoto wa kidugala

New member
Platinum Villager
Jul 8, 2023
195
704
0
Watoto wa kidugala
Naona unafurahia dp wed kama unaona uteuzi siku za usoni
Gily muamba ngoma huvutia kwake , asikudanganye mtu , mimi nimefurahi sana ile juzi dipii wedi mistress baada ya swali mojawapo la kibwagizo huko upenuni basi akanijibu kuwa jitahidi uwepo siku ya hukumu.🤔

Gily nakuja kuweka kibunda uniachie kijiji hiki mimi na shemeji yake
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Gily muamba ngoma huvutia kwake , asikudanganye mtu , mimi nimefurahi sana ile juzi dipii wedi mistress baada ya swali mojawapo la kibwagizo huko upenuni basi akanijibu kuwa jitahidi uwepo siku ya hukumu.🤔

Gily nakuja kuweka kibunda uniachie kijiji hiki mimi na shemeji yake
Hakimu
Ukitununua tutamwaga sifa za kutosha kuhusu dipii wedi🤣
Na kuna vijana wanaweza vizuri uchawa humu ndani

Ila sasa mbona kule jijini mbeya hakuna bandari? au bandari nchi kavu. Umekaa kweli mbali na sahani.
 
Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,116

ngoja nianze wapi dp wodiiiii wapi uhai wa bandari wapi mkataba milele wapi wakutufikisha mbali

piga keleeeee
 
Watoto wa kidugala

New member
Platinum Villager
Jul 8, 2023
195
704
0
Hakimu
Ukitununua tutamwaga sifa za kutosha kuhusu dipii wedi🤣
Na kuna vijana wanaweza vizuri uchawa humu ndani

Ila sasa mbona kule jijini mbeya hakuna bandari? au bandari nchi kavu. Umekaa kweli mbali na sahani.
Teuzi ya dipii itanivuta kutoka huku uswekeni mpaka hapo Temeke maeneo ya kurasini bandarini kikubwa , uzima lakini mvumilie maana sijui wacha nikae kimya niko napanga mipango mingi sana .
 
Watoto wa kidugala

New member
Platinum Villager
Jul 8, 2023
195
704
0
Hakimu
Ukitununua tutamwaga sifa za kutosha kuhusu dipii wedi🤣
Na kuna vijana wanaweza vizuri uchawa humu ndani

Ila sasa mbona kule jijini mbeya hakuna bandari? au bandari nchi kavu. Umekaa kweli mbali na sahani.
Teuzi ya dipii itanivuta kutoka huku uswekeni mpaka hapo Temeke maeneo ya kurasini bandarini kikubwa , uzima lakini mvumilie maana sijui wacha nikae kimya niko napanga mipango mingi sana
ngoja nianze wapi dp wodiiiii wapi uhai wa bandari wapi mkataba milele wapi wakutufikisha mbali

piga keleeeee
Anhaa wewe umemuiga bwana Mwijaku , ila tuache utani dipii wedi kuna kibunda jamani
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Teuzi ya dipii itanivuta kutoka huku uswekeni mpaka hapo Temeke maeneo ya kurasini bandarini kikubwa , uzima lakini mvumilie maana sijui wacha nikae kimya niko napanga mipango mingi sana

Anhaa wewe umemuiga bwana Mwijaku , ila tuache utani dipii wedi kuna kibunda jamani
hahaha waarabu wana hela za kutosha wanajua lulea😬
waliwafanya vibaya sana Dada zetu kule misugusugu kibaha. Wale wa uturuki
Ila hawa wa dubai wanaweza wasiwe na shida sana ngoja tuone uwezo wao
 
Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,116
113
Teuzi ya dipii itanivuta kutoka huku uswekeni mpaka hapo Temeke maeneo ya kurasini bandarini kikubwa , uzima lakini mvumilie maana sijui wacha nikae kimya niko napanga mipango mingi sana

Anhaa wewe umemuiga bwana Mwijaku , ila tuache utani dipii wedi kuna kibunda jamani
dp word ikija nitafutie kazi kwana japo ni IT ila uchawa wenye faida nauweza
 
Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,116
113
hahaha waarabu wana hela za kutosha wanajua lulea😬
waliwafanya vibaya sana Dada zetu kule misugusugu kibaha. Wale wa uturuki
Ila hawa wa dubai wanaweza wasiwe na shida sana ngoja tuone uwezo wao
hawajui kufungua kiustarabu wanafumua fumua bawaba vitasa
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Jul 8, 2023
1,320
2,995
0
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na matakwa ya Katiba. Akisoma Hukumu hiyo Jaji Dastan Ndunguru amesema baada ya jopo la majaji wa tatu kusikiliza pande zote mbili mahakama imeamua kuwa hoja zote sita hazina mashiko hivyo kuamua kuwa Mkataba wa IGA hauna dosari za kufanya usitekelezwe. Misingi minne ilianishwa kwenye malalamiko hayo ni: - Mkataba kuridhiwa bila kuutoa kwa uma na muda wakushiriki kwa wananchi. - Mkataba wa IGA uliosainiwa unakiuka sheria. - Mkataba ni kinyume na maslahi ya umma na rasilimali za umma. - Mkataba unahatarisha usalama wa nchi kwa baadhi ya vifungu. Akiongea na waandishi wahabari Wakili wa walalamikaji Bonifasi Mwabukusi amesema wanajipanga kwenda kukata rufaa kwani hawajakubaliana na uamuzi wa mahakama. BBC Swahili
kwani bado hamjapata m
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
Waratah wa TEC umezungumzia uhalisia. Ila yanayozungumzwa mtandaoni yanasikitisha. TEC wameenda mbali kuonyesha vifungu vya sheria na kwanini mkataba huu ni mbovu.

Uhuru wa kujieleza mtu yeyote ana haki ya kujieleza ilimradi havunji sheria za nchi
mkataba uboreshwe(amendment) usivunjwe. Tunaitaji uwekezaji..
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113
Waratah wa TEC umezungumzia uhalisia. Ila yanayozungumzwa mtandaoni yanasikitisha. TEC wameenda mbali kuonyesha vifungu vya sheria na kwanini mkataba huu ni mbovu.

Uhuru wa kujieleza mtu yeyote ana haki ya kujieleza ilimradi havunji sheria za nchi
kitu nlicho kifahamu kupitia TEC nikwamba hata uko nyuma walisha lalamika kuhusu mikataba baadhi ila wakapuuzwa na imekuja kuleta kamzozO
 
Last edited:

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
kitu nlicho kifahamu kupitia TEC nikwamba hata uko nyuma walisha lalamika kuhusu mikataba baadhi ila wakapuuzwa na imekuja kuketa kamzozO
Hatuwezi kufanya mkataba unaowahusu wajukuu zetu. Mkataba utuhusu kizazi chetu. Napinga mkataba usio na kikomo.

Mkataba utunufaishe sisi sio wawekezaji
 
Similar threads

Rostam aomba radhi majaji Jumanne, Julai 04, 2023 Mfanyabiashara, Rostam Aziz By Juma Issihaka Muktasari: Mfanyabiashara, Rostam Aziz amekiangukia Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania (JMAT), akiomba radhi kutokana na kauli aliyoitoa dhidi ya Mahakama nchini. Dar es Salaam. Mfanyabiashara...
Replies
12
Views
541
Mbeya. Sakata la uwekezaji bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World hatimaye limefika mahakamani leo Jumatatu Julai 3, 2023 jijini Mbeya. Kesi hiyo upande wa utetezi unaongozwa na wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi na Philipo Mwakilima Kesi hiyo...
Replies
2
Views
542
Mbeya. Siku moja baada ya mwanafunzi, Esther Noah kupatikana akiwa hai, anaendelea na vipimo kwenye Hospitali ya Rufaa kitengo cha Wazazi Meta jijini Mbeya kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Mwanafunzi huyo (18) wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Panda Hill alidaiwa kupotea katika...
Replies
12
Views
753
Top Bottom