Mwalimu wa Mathe amewakosea nini watanzania ?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Drizian

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
90
Reaction score
237
Points
0
Moja kwa moja.

Nimeona clip na utani unasambaa kwa walimu wa Mathe(hesabu) hapa bongo kauli inayotrend kuhusu wao ni "Mwalimu wa Mathe hapa ni wapi ? ".

Kwa nini asiwe Mwalimu wa Kiswahili , geography ,physics ,civics , Chemistry nk. watu wawashambulie walimu wa Mathe pekee na kutoa taswira kuwa hao ndio walimu ambao wakuda kupitiliza je hii ni kweli ?
download (1).jpeg

#UziTayari
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Alinitoaga mbele kipindi hiko anafundisha physics et kwanini huji shule
Nikamjibu vitu ninavyofanya vina thamani kuliko shule
Ila uishi miaka mingi ulikuwa mwanangu wa faida japo ulinikanyaga ssna na bakora
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mwalimu wangu wa hisabati primary napigaga nae madili ya kuku siku hizi, wa sekondari nnacho kumbuka ni alikua na ujauzito form one na form 3 kwahyo math ilikua ni kama vita vya palestina na Israel
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Mwalimu wangu wa hisabati primary napigaga nae madili ya kuku siku hizi, wa sekondari nnacho kumbuka ni alikua na ujauzito form one na form 3 kwahyo math ilikua ni kama vita vya palestina na Israel
Mwalimu wa mathe wa kujitolea alikiwa anapiga kama anaua nyoka nilisoma vipindi chini ya 10 form 3 na form 4
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mwalimu wa mathe wa kujitolea alikiwa anapiga kama anaua nyoka nilisoma vipindi chini ya 10 form 3 na form 4
hata wao hawaielewi, kwahyo lazima wawe na ghadhabu
 

Drizian

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
90
Reaction score
237
Points
0
Alinitoaga mbele kipindi hiko anafundisha physics et kwanini huji shule
Nikamjibu vitu ninavyofanya vina thamani kuliko shule
Ila uishi miaka mingi ulikuwa mwanangu wa faida japo ulinikanyaga ssna na bakora
Kama alikuacha tu baada ya kauli hiyo basi una bahati kubwa sana.
 

Drizian

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
90
Reaction score
237
Points
0
Mwalimu wetu wa Mathe kipindi tupo form 1 alikuwa sio mkali hakagui wanaoandika ,kusahisha nk yeye hajali anafundisha na kupiga stori za kuchekesha .

Wadau tukawa tunamjadili pembeni kwa huu ufundishaji hatufiki mbali mwalimu wa Mathe inahitajia awe mkali ,tulivyoenda nae form 2 mpk 4 akawa mkali habari nyingine kila kitu anafuatilia ikafika stage watu wakawa asipofika shule wanashangilia na watu kukimbia vipindi vyake.
 

Similar threads

Mary Katherine Schmitz alizaliwa mwaka wa 1962 huko jimboni California, mama yake ni Mary E, mwanakemia, na baba yake ni John G. Schmitz, mwanasiasa. Mary Katherine Schmitz alijulikana kama Mary Kay kwa familia yake. Mara baada ya kuzaliwa alipewa jina la utani “Mary Kay.” Pia baba yake alimpa...
Replies
24
Views
347
Wasalaam wana Kijiji Nikiwa form 3 kuna mwalimu wa Physics alikuwa anamtaka mwanafunzi mmoja hivi wa kike. Sasa yule msichana alikuwa mshikaji wangu tuna hang mda mwingi akajua kuwa namuibia kumbe sio. Mwalimu Ngawila akaanza majungu kila akiniona utamsikia "dogo wewe ni zero brain hutoboi...
Replies
74
Views
949

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom