Nilidhani Nimepata Kumbe Nimepatikana

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,822
Reaction score
3,805
Points
113
Wakati nimepanga pande flani za Magomeni Mapipa nikakutana na msichana mmoja mzuri katokea pande za kaskazini (mkoa kapuni). Kumtomgoza akawa anacheka cheka tu nikaona huyu kukubali. Kama asingekuwa amenikubali angenichekea chekea?

Tulijikuta tuko kwenye mahusiano nikawa nampa na vizawadi vidogo vidogo anafurahi kweli. Mara kwa mara angeniuliza " Muhindi unanipenda kweli?". huku akicheka cheka. Hapo nikaona huyu mtoto kafa kaoza kwangu sio kwa kumfurahisha hivi.

Nakumbuka siku moja kachukua msosi kwao ugali na mlenda kaniletea. Tuko uwani tumekaa tunakula. Akamega tonge akachovya kwenye mlenda akanilisha nile. Mtu asikwambie ukiwa unakula mlenda asikatize mtoto na kamasi. Kifupi tu sili mlenda na wala sipendi kula nje.

Nikawaambia washikaji "eh bwana eh huyu demu simuelewi elewi naona anacheka cheka mda wote" Washikaji wakaniambia hawa mademu wakikaa mda mrefu bila kuwa na mwanaume huwa wanacheka cheka mpe tiba. Nikaona haya si mambo ngoja nimepange nije nijilie vyangu

Nikampanga usiku njoo gheto mida ya saa tatu hivi wapangaji wengi wanakuwa wamelala. Nikaacha mlango wazi bila kuulock kwa ndani nikisubiri mida uwadie nimpe dawa aache kucheka cheka.

Mida ya saa tatu demu huyu hapa kwa sababu ya ugumu nikajikuta namrukia na kumkumbatia. Wazee walisema siku ya kufa nyani miti huteleza. Oh salale ila nataka kumnyonya ziwa chuchu konzi akanisukuma.

Nikarudi kutaka kumnyonya tena ziwa chuchu konzi akanisukuma. Akaniuliza " Muhindi unataka kuninyonya ziwa kwani we unataka kunioa? " Nikiwa nashangaa akaniuliza tena mara ya pili " Hivi Muhindi kwani unataka kunioa mpaka unyonye ziwa?

Dah kasheshe hili. Nikaona isiwe kesi ngoja nivue nguo zangu kisha nikasogea nimvue nguo zake pia. Akanisukuma tena, akaniuliza "We Muhindi unataka univue nguo kwani nalala hapa hapa?"

Nikamuliza "unasemaje?"

Akanijibu kwa swali " Muhindi eeeh unataka kunivua nguo zangu kwani nalala hapa hapa?" "hebu fanya haraka niondoke"

Nikapandisha gauni juu nikiwa na hasira za kutosha. Huu ulikuwa ni wasaa mzuri wa kumaliza hasira zangu za siku kwa show kali. Unajua niliomba aje aniliwaze ila sasa nikajikuta namalizia hasira zangu kwake. Nilisikia raha sana alipokuwa analia 'yeuwiii ishiiiiiii yeuwiiii uwiiiiiiiii" nikaona hapa mimi ni bonge la mjanja.

Sikuwa mtu wa kukaa maskani na masela. Siku inayofata nikajikuta niko kijiweni na washikaji tunapiga soga za hapa na pale. Mwamba mmoja si akamwaga ubuyu " Oya wanangu yule demu chizi anapenda kucheka cheka nasikia anatoka na mshikaji mmoja nyumba ya tatu na jana jamaa Kala mzigo" Kufatilia story kumbe nipo kijiweni nazungumziwa mimi

Ila ikabidi niwaulize washikaji "Yule demu ni chizi? mbona jana nimekula mzigo yuko poa tu. Washikaji wakafunguka kuwa demu ni chizi fresh na katoka mkoa huko kaskazini kufata matibabu huku mjini. Na pale mtaani watu wengi wamelala nae. Nikajikuta nimekaa machozi yananilenga lenga natamani kulia kwa nguvu navunga

Nikiwa sina hili wala lile demu si akapita pale kijiweni akanikuta niko na wana. Demu su akaanza kuropoka akiwa ameninyooshea kidole "Muhindi wewe ni nomaaa, jana ulinipa utamu sijawahi pata toka nizaliwe" Kumbe yule binti katangaza huko alikopita kuwa jana nilipata kumfurahisha sana mtaani kila kona story ni hiyo.

Nikaamka nikakimbia kuingia mtaa wa ili kuna gereji flani hivi ya kiswazi naona watu wananinyooshea vidole. Mshikaji mmoja hivi fundi akaniambia " mwanangu we noma yule chizi tumekula wengi ila kakubali show zako anatangaza kila kona" Tupe mbinu sio poa hadi chizi kakubali show zako

Kufanya story iwe fupi siku ile ile nikaagiza gari nikabeba vitu vyangu nikaenda vibwaga home kwa mazaaa wakati nikitafuta chumba sehemu nyingine. Ila namkumbuka chizi wangu nilikuwa napenda anavyocheka cheka. Ila nilikuwa mzembe kutojua mapema kama ni chizi maana siku tunaenda coco Beach aliniuliza " Muhindi hapa ndipo mvua huwa inalala?"
 

Similar threads

That's is not good jamani nimezipata juzi ndoto mpaka naogopa ya mwisho niliota saa 2 ahsubuhi ila sikufika mwisho na ndani ya ndoto nilimuacha yule demu tukiahidiana kukutana tena siku nyingine (tulichezeana tu) kushtuka saa 2 nilisononeka maana kuota ndoto kama hiyo mchana ni ajabu hapa sina...
Replies
4
Views
407

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top