Nimehama Windows rasmi nipo Ubuntu

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,714
Reaction score
6,235
Points
113
Nimeamua kuhama windows na kuhamia ubuntu kama os yangu na nimeona ipo poa tu hasa kwa sisi watu wa tech napia ni lightweight kuliko windows japo sio ngumu kutumia pia sio rahisi kutumia kama windows nitadumu humu kwenye linux for long time

kam na wewe umewahi tumia au unapanga kutumia any linux distribution os njoo tupeani maneno
 
Weraaaaaaa
 
Hii Ubuntu ni fire. Sikuwa najua hilo until hakimu kanieleza kwa kina. Very good ila shida tunatumia free version 🤣
 
Hii Ubuntu ni fire. Sikuwa najua hilo until hakimu kanieleza kwa kina. Very good ila shida tunatumia free version 🤣
ndo tatizo
 
ndo tatizo
Kulipia imekaaje. Hivi kima cha chini cha kulipia ni sh ngapi?
Hivi juna cd version za window za Ubuntu?
 
Kulipia imekaaje. Hivi kima cha chini cha kulipia ni sh ngapi?
Hivi juna cd version za window za Ubuntu?
cd tena sina ila naweza tengeneza bootable ya flash
 
cd tena sina ila naweza tengeneza bootable ya flash
Yote sawa nimeuliz kama zinauzwa CD kama za ant virus zenye windows za ubuntu
 

Similar threads

Kulingana na uvumi, Windows 12 itaanza kutolewa mwishoni mwa mwaka ujao, na kutakuwa na vipengele vipya kama vile floating taskbar Kulingana na uvumi, Microsoft inakusudia kutoa Windows 12 katika robo ya tatu ya 2024, ikifuatiwa na utoaji mpana zaidi 2025, sawa na walivyofanya na Windows 11...
Replies
3
Views
165
Microsoft imeongeza kipengele cha programu saidizi yenye akili bania iliyopewa jina la Windows Copilot kwenye mfumo endeshi wake. Kipengele hiki kipya saidizi chenye akili banddia kimepachikwa moja kwa moja kwenye taskbar ya Windows 11 na itafanya kazi na programu zote. Windows Copilot inachukua...
Replies
1
Views
317

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top