Njia zinazofaa kuokoa hali ya uchumi na biashara Tanzania

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,778
113
Mapendekezo ya wafanyabiashara
Kasi ya utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Wafanyabiashara kwa sababu kuna mambo mengi mazuri yanayoweza kustawisha biashara na sekta binafsi. Serikali inatakiwa kutochoka kukutana na wafanyabiashara mara kwa mara, kwa sababu wao ndio wanajua shida zinazowakabili.

Kuipa kipaumbele sekta binafsi
Sekta binafsi inayomilikiwa na Watanzania kupewa kipaumbele kwenye zabuni hususani kwenye ujenzi kwa sababu asilimia kubwa ya bajeti ya Tanzania huishia kwenye ujenzi lakini wanufaika wakubwa wa hizo zabuni ni kampuni za nje, hii inadhoofisha ukuaji wa sekta binafsi ya Watanzania.

Kuweka kodi rafiki
Kuendelea kupunguza tozo na kodi mbalimbali ili Wafanyabiashara waweze kuvutiwa kufanya biashara. Pia ni muhimu kuendelea kutoza kodi kubwa bidhaa zinazotoka nje ili zinazozalishwa ndani zipate soko na kukuza sekta binafsi.

Mzunguko wa fedha
Ni muhimu kuongeza ujazo wa fedha katika mzunguko kiuchumi, hili anaweza kulitekeleza kwa kuanza kulipa madeni ya watu wenye kandarasi mbalimbali serikalini ambao bado hawajalipwa stahiki zao.


Karibuni kutoa maoni mbalimbali jinsi ya kukuza uchumi wa Tanzania.
 

Similar threads

Kuwa na kitambi ni lugha ya mwili ( body-language ) inayo leta ujumbe kwako kwamba mwili wako haupo salama tena. Kama una kitambi maana yake una mafuta yasiyo hitajika mwilini mwako. Hali hii kitabibu imaanisha kwamba, ogani nyinginezo zilizomo ndani ya mwili...
Replies
26
Views
308
  • Question
Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa hujulikana kwa kitaalamu kama “Pre mature ejaculation.” Premature ejaculation (PE) hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake...
Replies
27
Views
440
Wana kijiji nilikuwa nauliza. Eti ipi ni njia yako ya kujiondolea stress au ku relax labda baada ya kazi nyingi au weeknd. ? In short anasa yako. Mimi 1.kusikiliza mziki. Napenda sana 😅 2.kulala 3.kuleta ugomvi. Hii one of a kind 4. Going for a walk. 5. Sex. sometimes 😎
Replies
30
Views
596
Upangaji Uzazi Kwa Waume Kupitia Njia Ya Upasuaji Ni Nini? Ni upasuaji wa mshipa unaopitisha mbegu za kiume, ili mme asiweze kumpachika mke mimba. Ni njia ya upangaji uzazi ya milele. Njia Hii Hufanya Kazi Vipi? Njia hii huzuia mbegu kutoka kwa makende na kuchanganyika na shahawa. Mbegu...
Replies
45
Views
449
  • Sticky
Ugonjwa wa fangasi (Candidiasis) husababishwa na vimelea vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘Candida albicans’. Vimelea hivi hushambulia jinsia zote lakini hushambulia zaidi wanawake sababu ya maumbile yao ya sehemu za siri kuwa na unyevunyevu kitu kinachopelekea wao kuathiriwa zaidi kuliko...
Replies
25
Views
490
Top Bottom