Papa asema makasisi wa Kanisa Katoliki wanaweza kuwabariki wapenzi wa jinsi moja

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,770
113
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsi moja na wanandoa "isiyo ya kawaida", kwa misingi ya hali fulani.

Lakini Vatican ilisema baraka hazipaswi kuwa sehemu ya taratibu za kawaida za Kanisa au zinazohusiana na miungano ya kiraia au harusi.

Iliongeza kuwa inaendelea kuiona ndoa kuwa kati ya mwanamume na mwanamke.

BBC Swahili
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Waraka wa baraza la maaskofu baadhi ya nchi Africa kupinga maamuzi ya papaM.jpegZ1.jpegZ2.jpegK1.jpegK2.jpeg
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,875
3,962
113

Similar threads

katika video nadra sana kuonekana, kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa M23, Sultani Makenga, amepuuzilia mbali wazo la upande wake kuweka silaha chini na kusisitiza kwamba ikiwa serikali inataka amani "kutakuwa na kuwa amani” na “kutakuwa na vita” kama wanataka hivyo. Mwezi...
Replies
1
Views
107
Top Bottom