Pyramid za Misri

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
1689677987123.png
Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae.

PYRAMID kubwa zaidi MISRI (Egypt) lilitumia matofali (majabali,) 2,300,0000 (million mbili na laki tatu) na inakadiriwa kua kila tofali/jabali/jiwe lilikua na uzito wa tani 7, kwenye kilele cha pyramid hilo jiwe lililotumika kufunika juu kabisa lina uzito wa tani 50 mpaka leo wazungu wanajiuliza ni kina nani walilipandisha jiwe hilo na ilifanyika vipi jiwe la namna hiyo kupandishwa juu urefu wa futi zaidi ya 400 na binadamu jambo ambalo ni gumu kulielewa

Pande zote tatu za PYRAMID zipo sawa na unaambiwa huwezi kuona kimvuli cha pyramidi hata ukae upande gani hii inamaana kuwa hata jua likae upande gani huwezi kuona kimvuli cha pyramid , Hesabu zilizotumika kujenga pyramid hilo ni pasua kichwa Hadi Sasa.
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Umeniwahi na hii mada Nitashusha nondo hivi karibuni
 

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom