- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
Wakuu niaje?
Leo nmezidishiwa chenchi na konda nimekuja kujua nlipofika nyumbani, imeniuma sana, sasa sijui hii hela ntaifanyia nini maana siwezi itumia kabsa....
uzi tayari