Uume: Grower Vs Shower

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,778
113
Showers - uume unaoonekana mkubwa ukiwa hujasimama.
Hawa ni watu ambao uume wao una urefu sawa wakati hawajadinda au kusimamisha na wakati wamedinda au wamesimamisha.

Growers - uume mdogo kimuonekano ila unaongezeka ukubwa
Hawa ni watu ambao uume wao huongezeka ukubwa pale wanapokuwa wamesimamisha. Katika mazingira ya kawaida wanaonekana wana uume mdogo ila ukisimama unaongezeka ukubwa zaidi ya mara mbili.

Yeyote mwenye maarifa kuhusu hili aongezee point.
 

Similar threads

Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Replies
11
Views
669
Matokeo: Katika wanaume 253 wa Kitanzania wenye umri wa miaka 10 hadi 47 wastani wa ยฑ SD urefu wa uume kwa watu wazima ulikuwa 11.5 ยฑ 1.6 cm, wastani kikonyo ulikuwa 8.7 ยฑ 0.9 cm na mduara wa wastani wa mapana ulikuwa 8.8 ยฑ 0.9 cm. Kama ilivyotarajiwa, kutokana na mabadiliko ya kubalehe, vipimo...
Replies
9
Views
458
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika. Utafiti huo unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume. Utafiti huo uliochapishwa leo Jumanne, Julai 4...
Replies
47
Views
1K
Top Bottom