Viumbe toka sayari ya mbali - Aliens and UFOs

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kumekuwa na tetesi za kuwepo viumbe kutoka sayari z mbali wanajulikana kama "extraterrestrial beings" kwa kingereza. Hawa viumbe wamekuwa wakiripotiwa kuwa wanaonekana duniani katika sehemu mbalimbali na baadhi ya watu

Kuna tetesi za kutekwa kwa baadhi ya watu wengi duniani na viumbe hawa "aliens" kimuonekano wana rangi za kijivu na macho makubwa. Watu hawa wanasadikika kuwateka binadamu kwa minajili ya kuwafanyia majaribio ya kisayansi

Muonekano wa Aliens
ExZhhoFQYwDYSmXiYev25G-1200-80.jpgAliens.jpg

Kuna ndege aina ya "UFO" zimeonekana zikiruka angani na zinadaiwa hizi ndege zinatimika na hawa viumbe "Aliens"

Muonekano wa UFOs
ufo-9299-ba504d4a8a2c10e038bd68faa985ef66@1x.jpg
869876-word-ufo-day-2020.jpg

Huu uzi ni wa ku share mitazamo mbalimbali kuhusu kuwepo kwa viumbe hawa na kuonekana kwa UFOs 🛸 duniani. .
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ukifikiria jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa, aisee kuna uwezekano mkubwa sana hatupo wenyewe.
ndio kumekuwa na tetesi kuwa hatuko wenyewe. Ni maajabu kuwa huamini katika Mungu ila unfamiliar katika Aliens. Anyway let me school you a little

According to the ancient alien history it's believed that they co existed with people in ancient times. Some believe these Aliens created human beings in a lab. To elaborate Adam and Eve were created in a lab. These were Anunnak and the reason they visited the earth is because they were extracting gold and they had to create humans for the sole purpose of helping them.

These humans confused these Anunak as gods. These beings have been seen in past drawings in various parts of the world. Some of these Annunaks have been seen to have chicken head. Stay tuned for more......
Goddess-Ishtar-Greek-mythology.jpganunnaki.jpg
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0

View attachment 568View attachment 569
ndio mkuu.... nadharia ziko nyingi sana ila sasa ushahidi hua ndo changamoto
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
wapi wanatokea au wanaishi?
wanaishi kwenye sayari za mbali, wameweza kufika huku kupitia teknolojia ya usafiri, ambayo ni teknolojia ya uwezo wa juu kuliko teknolojia yetu sisi
Kuna uwezekano kuwa wanaishi duniani ?
hii pia inawezekana, ila sio kwamba wametokea huku, itakua ni wachache wamekuja kuishi huku kwa lengo fulani.
inasemekana wana utashi kutuzidi sisi
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
wanaishi kwenye sayari za mbali, wameweza kufika huku kupitia teknolojia ya usafiri, ambayo ni teknolojia ya uwezo wa juu kuliko teknolojia yetu sisi

hii pia inawezekana, ila sio kwamba wametokea huku, itakua ni wachache wamekuja kuishi huku kwa lengo fulani.
inasemekana wana utashi kutuzidi sisi
Hili conspiracy ya kuwa wanahishi huku duniani inasema wengine wanaweza kuwa wanaishi deep sea 🌊 kwa sababu bahari ni kubwa ma hatujaichunguza yote

Pia kuna bara kama Antarctica ambalo liko inhabited linaweza kuwa makazi ya hawa viumbe. Pia sayari za mbali au sayari za karibu hata kwenye mwezi hakuna anayeweza sema kwa uhakika just speculation
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Hili conspiracy ya kuwa wanahishi huku duniani inasema wengine wanaweza kuwa wanaishi deep sea 🌊 kwa sababu bahari ni kubwa ma hatujaichunguza yote

Pia kuna bara kama Antarctica ambalo liko inhabited linaweza kuwa makazi ya hawa viumbe. Pia sayari za mbali au sayari za karibu hata kwenye mwezi hakuna anayeweza sema kwa uhakika just speculation
inasemekana serikali ya marekani wamedaka UFO iliyodondoka, na alien aliyekufa aliyeko ndani...

hii ikihakikishwa basi tutakua na uhakika 100%
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mi sidhani kama wapo hivi viumbe naona zote kama kashkash za ulimwengu
Subscribes kwenye huu uzi vizuri nitakuwa natupia kuhusu hawa aliens

Kifupi:
1. UN wana department inayohusiana na hawa viumbe wa sayari ya mbali. Kina ulazima upi wa kuwa na department UN kama hawa viumbe hawapo
2. Area 51 ni eneo la siri ambalo lipo marekani na inasemekana kuwa walishawakamata hawa viumbe na kuwafanyia majaribio. Kuna baadhi ya wafanyakazi walishajitokeza hadharani kuthibitisha ila serikali ya marekani inaficha kuhusiana na kuwafanyia majaribio viumbe hawa
3. NASA shirika la utafiti wa anga za mbali limetoa matamko kuthibitisha au kukataa uwepo wa viumbe hawa. Ila kikubwa kwa nini wanafanya utafiti wa viumbe hawa kama hawaamini uwepo wao. Pili baadhi ya ushahidi wameukataa hadahrani ila baadhi hawajatoa majibu imebaki kuwa hauna majibu
UFO zimekuwa zikionekana kwenye ilo eneo la area 51 ambalo limetengwa na liko na uzio watu hawaruhusiwi hata kupiga picha

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
uhakika kua wapo hamna kwa sasa,

ila ukizingatia vitu fulani fulani uwezekano kua wapo ni mkubwa
Uwezekano kuwa wapo upo mkubwa kulingana na matukioa yanayotokea mfano
1 Kutekwa kwa baadhi ya watu na viumbe hawa aliens. Wengi wamejitokeza hadharani kutamka kuwa walitekwa
2 Kuonekana kwa UFO tangu miaka ya 60 japo hakuna aliyeweza kukataa au kutaja UFO zinatokea wapi na kwa nini zinapptea angani? (disapper)
3. Michoro ya picha au curving katika sehemu mbalimbali kutoka kwa watu za zama za kale

........
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
kuna mahal i niliona, inasemekana wamarekani wanajaribu kuistadi teknolojia ya aliens ilioko kwenye hizo UFOs....

sasa wanajaribu kuweka siri ili wawazidi maadui zao, russia na china, hawataki wagundue hizo teknolojia
Wakati wa vita ya pili ya dunia kipindi Adoph Hitler akitawala German alikuwa anatumia silaha ambazo zilikuwa juu sana wengi wakiamini walipaya ujuzi kutoka kwa viumbe aliens

Pia kulikuwa na UFO ambazo zimetengenezwa na wajerumani. Idea inasemekan imetoka kwa hawa aliens. Baada ya kushindwa vita ile wamarekani waliwapa hifadhi wanasayansi wengi wa ujerumani waliokuwa chini ya Hitler

Soma zaidi hii site kuona UFO ambazo zilitengenezwa na German 👇👇
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Wakati wa vita ya pili ya dunia kipindi Adoph Hitler akitawala German alikuwa anatumia silaha ambazo zilikuwa juu sana wengi wakiamini walipaya ujuzi kutoka kwa viumbe aliens

Pia kulikuwa na UFO ambazo zimetengenezwa na wajerumani. Idea inasemekan imetoka kwa hawa aliens. Baada ya kushindwa vita ile wamarekani waliwapa hifadhi wanasayansi wengi wa ujerumani waliokuwa chini ya Hitler

Soma zaidi hii site kuona UFO ambazo zilitengenezwa na German 👇👇
aisee ikithibitishwa dini zimeisha😂
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
aisee ikithibitishwa dini zimeisha😂
Naamini kuwa Mungu yupo kwa sababu mbalimbali. Mfano tu leo hii tunaona viumbe kama popobawa, majini, vibwengo nk....

Viumbe hivi ambavyo mara nyingi havionekani kwa macho ila sasa kama vinaweza onekana basi jua uwepo wa Mungu pia upo. .
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Naamini kuwa Mungu yupo kwa sababu mbalimbali. Mfano tu leo hii tunaona viumbe kama popobawa, majini, vibwengo nk....

Viumbe hivi ambavyo mara nyingi havionekani kwa macho ila sasa kama vinaweza onekana basi jua uwepo wa Mungu pia upo. .
mungu kasema sisi tu ndo tuna utashi kama yeye

aliens wakigundulika basi moja kwa moja hayupo
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
hawa jamaa nina uhakika hawaishi duniani ila wanaishi kwenye another planets yamkini kwenye mifumo mingine ya jua
Kwamba inawezekana wanaishi duniani kwa sababu kuna mambo yanaendelea watu hawayajui vizuri mfano Bermuda Triangle

Kuna mji unaitwa Atlantis upo duniani ila una tabia ya kupotea na kurudi. Unapatikana baharini huko ila bado wataalamu hawajaweza kusema upo wapi haswa.
 
Similar threads

Japo haiwezekani kuishi Mars kutokana na kukosa baadhi sifa ambazo zinaweza kusapoti uhai. Wanasayansi wengi wamekuwa wakitabiri kitakuwa na watu siku moja huko sayari ya Mars. Hivi karibuni shirika la mambo ya anga la marekani NASA, limekuwa likifanya utafiti wa kina juu ya Mars. NASA wanadai...
Replies
18
Views
269

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom