What's app kuja na multiple accounts

Anonymous

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
515
Reaction score
143
Points
0
Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia.

WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo mengi kwenye Akaunti zetu, unakumbuka ile feature ya kuweza kutumia Akaunti moja kwenye vifaa zaidi ya vinne Tena tofauti tofauti achana nayo
emoji16.png
hiyo.

whatsappbusiness.jpg



Kuna nyingine bhana inakuja sio poa hii ni feature mpya ya kuweza kukusaidia kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye kifaa kimoja. Yani utakua na uwezo wa kutumia Akaunti zaidi ya moja kwenye simu yako hiyo hiyo bila kubadilishi simu.

So utakua na uwezo wa ku log out au kuchagua Akaunti nyingine unayotaka kuweza kutumia WhatsApp yako, kwaiyo watu watakua na uwezo wa kudhibiti mazungumzo yao ya kibinafsi na Kazi kwa ku swipe tu kwenye Akaunti Gani wanataka kutumia.

whatsappb2.jpg



Kwanza itaanza kupatikana kwa watumiaji wa WhatsApp business ambao ni beta version alafu siku za usoni itakua available worldwide. Japo hii feature ilikuwepo kwenye Akaunti ya Instagram, Facebook, Twitter nazani na telegram kama sikosei.

Unaionaje hii feature ya ku log out au ku swipe kwenye Akaunti nyingine walikuja nayo WhatsApp vipi Iko poa tuachie maoni yako ?
 
Wafanye hivyo bana wanazidiwa feature na waarabu wa Fouad(fm), Gb na Aero WhatsApp
 

Similar threads

This new app is made for sharing real life photos with close friends only. This is an app that is like Instagram, but there are no news photos, ads, but there are real photos that are taken with the phone and are visible only to close friends. It's like a photo gallery and Instagram as one app...
Replies
3
Views
105
Sio kila wakati / nyakati unataka kusikiliza voice message kwenye simu yako ya iphone. Tuchukulie uko sehemu yenye watu wengi alafu Ujachukua Earphones umetumiwa ujumbe wa sauti utaki watu wasikie unafanyaje? Apple wamekuja na feature mpya kwenye ios ya 17 ambayo inaitwa Audio Message utakua na...
Replies
34
Views
913

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top