Farming & Animals

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

1)Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka duniani 2) Paka wengi ni mashoto kwa maana miguu yao ya kushoto ndio hutawala katika shughuli zao nyingi 3)...
Replies
17
Views
377
KOMBA(BUSH BABY) Ni mnyama jamii ya kima ambaye Ni mdogo kuliko wote ambaye anatembea usiku tu mchana analala (night monkey) Bush baby Ni Aina pekee ya kima ambaye muda mwingi wa Maisha yake anatumia akiwa juu ya mti. Bush baby Ana macho makubwa yanayomsaidia kuona wadudu gizani na masikio...
Replies
2
Views
195
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
447
MAMBA ni mnyama anayekula nyama, huweza kuishi nchi kavu lakini maisha yake kwa kiasi kikubwa hupendelea kukaa majini, tofauti na fikra za watu wengi ambao hufikiri mamba anazaa ukweli ni kwamba huwa anataga, ambapo kwa wastani hutaga mayai 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe...
Replies
4
Views
483
Katika moja ya kundi la viumbe hai walio wa ajabu zaidi; basi bundi hawezi kukosekana. Bundi kama walivyo jamii nyingine ya ndege chimbuko lake ni yai. Mayai ya bundi huchukua mpaka siku thelathini mpaka kuja kutoa kifaranga. Katika utotoaji kifaranga wa bundi kawaida anaweza kuchukua mpaka...
Replies
2
Views
196
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
323
Replies
18
Views
558
Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni.
Replies
18
Views
229
Ufuta (sesamum indicum) ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Mbegu za zao hili huwa na wastani wa mafuta kiasi cha asilimia 45. Kwa...
Replies
3
Views
102
Hawa ndege ni moja kati ya ndege wajinga kuwahi kutokea Kwanza husambaza uchafu hovyo Kukwarua watu na kuzonga zonga Wabishi alafu waoga inshort wanatia hasira Kunahaja serikali ikaangalia namna ya kutokomeza hawa viumbe weusi
Replies
25
Views
708
Top Bottom