NewsHopper & Event's

Stay informed and view Kijiji latest breaking news, analysis, exclusive interviews, headlines, weather, and entertainment events happening in Tanzania, live coverage, investigations, analysis, etc.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Madaktari katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta nchini Kenya wamefanikiwa kutia damu kwa kijusi akiwa bado kwenye mfuko wa uzazi wa mama huyo. Utaratibu huo wa umakini zaidi, unaojulikana kama Uhamisho wa Ndani wa Kijusi ni hatua muhimu katika matibabu ya kijusi na utaalamu wa tiba ya ndani...
Replies
4
Views
192
Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) ni teknolojia inayokuwa kwa kasi duniani huku ikianza kukita mizizi katika uzalishaji wa muziki kwa wanamuziki wa nchi za Magharibi. Kupitia teknolojia ya AI mtu anaweza kuomba atungiwe mashairi kuhusiana na mada husika na kuiamrisha kompyuta kusuka mdundo na...
Replies
4
Views
298
Kufifisha uwezekano wa kutokea ajali iwapo unafanya mazoezi ya kukimbia katika barabara inayotumiwa na vyombo vya moto, kama magari; kuna mambo sita muhimu unayopaswa kuyazingatia. 1. Tumia eneo la watembea kwa miguu Barabara nyingi hata zile zinazopatikana katika nchi masikni, zina eneo kwa...
Replies
3
Views
168
Struggle to contain situation before it gets out of hand: AJ correspondent Al Jazeera’s Ahmed Idris, who has reported extensively on Nigerien affairs, says the next few days will be “critical”. “What is clear right now is the struggle to contain the situation before it gets out of hand,” he...
Replies
1
Views
196
Ngono ni jambo gumu. Kadiri tafiti zinavyofanywa kuhusu ngono, ndivyo mambo ya kushangaza yanavyozidi kuja. Jesus Rivas ni mtaalamu wa nyoka anayefanya kazi katika Chuo Kikuu cha Mexico Highlands nchini Marekani. Hivi karibuni Jesus alijifunza jambo la ajabu kuhusu maisha ya ngono ya nyoka...
Replies
36
Views
455
Tanzania imeondoa marufuku ya usafiri wa mabasi yaendayo usiku ambayo iliwekwa miongo kadhaa iliyopita. Serikali inasema mabadiliko hayo yamekuja baada ya kuzingatia maoni ya wadau wa sekta ya usafiri, pamoja na uboreshaji wa miundombinu na usalama. Wakati akitangaza hatua hiyo bungeni, Waziri...
Replies
6
Views
285
Picha mbalimbali za muonekano wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 4.6 linalojengwa katika eneo la Kigongo - Busisi, jijini Mwanza. Leo Juni 14, 2023 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ukaguzi maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalogharimu shilingi bilioni 716, ambapo ujenzi wake...
Replies
3
Views
112
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa) na ni kikwazo kikubwa katika kudhibiti magonjwa ya zinaa, WHO ilisema...
Replies
10
Views
251
Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg alithibitisha kujitolea kwa umoja huo kwa wazo la kuijumuisha Ukraine katika safu zake. "Ninatarajia viongozi washirika kukubaliana juu ya vipengele vitatu ambavyo vitaileta Ukraine karibu na uanachama wa NATO. Kwanza, ni lazima tuidhinishe mpango wa...
Replies
2
Views
164
katika video nadra sana kuonekana, kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa M23, Sultani Makenga, amepuuzilia mbali wazo la upande wake kuweka silaha chini na kusisitiza kwamba ikiwa serikali inataka amani "kutakuwa na kuwa amani” na “kutakuwa na vita” kama wanataka hivyo. Mwezi...
Replies
1
Views
107
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda na maafisa 14 wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Pia ameidhinisha kutimuliwa kwa wanajeshi 116 wa vyeo vingine na kuidhinisha kusitishwa kwa kandarasi za utumishi za wanajeshi 112 wa vyeo...
Replies
12
Views
312
MAMLAKA ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kiasi cha gesi asilia kilichogunduliwa hadi sasa chafikia kiasi cha futi za ujazo Trilioni 57.54. Aida PURA imesema tangu kugunduliwa kuwepo kwa gesi hiyo nchini hadi sasa wameshachimba visima 96 ambavyo kati ya hivyo 44...
Replies
2
Views
114
Habari Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wametoa angalizo.kuwa kutakuwa na hali ya mvua na mawingu katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya Pemba na Unguja. . MWELEKEO WA MVUA KWA TAREHE 01- 10 JUNI, 2023 Kanda ya ziwa Viktoria (Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga...
Replies
1
Views
162
Top Bottom