maisha

  1. Hakimu

    Pairs (Dhana dhabiti kwenye nature)

    Waungwana leo ningependa kutoa maoni ya kile ninachowazaga mda ninapokuwa free, japo sikuwa na time leo ila nitaweka facts kidogo Unajua Maisha yetu ndio Nature yenyewe, ok namaanisha Nature ndio maisha na kipindi Mungu anaumba aliweka vitu viwili viwili yaani chochote lazima viwe inform of...
  2. Hakimu

    Hatuyapangii Maisha

    Maisha ni safari kama wahenga walivyosema, leo nataka tujadili jambo je sisi ndio tunapanga au maisha yanatupangia Maisha yanaweza kuwa ni nature, umepanga uende kanisani unaamka umechoka Unafanya kazi kwa bidiii na bado hufanikiwi, kipindi unapanga mambo yako na maisha pia yanakupangia baya...
  3. Hakimu

    Baada ya mihangaiko ya kila siku

    WanaKijiji baada ya mihangaiko ya simu umechoka, huu ni uzi pekee ambao tutakuwa tunatoa mrejesho kwa maswaibu ya kila siku katika harakati za kutafuta maisha Leo bwana siku yangu haikuwa pouwa ni mambo ya ajabu mpaka nilitamani kugeuzia njiani ila Mungu alinishika mkono Karibu
Back
Top