Kijiji Off-topics

This is a forum of general posts that don't fit in any forums. Any serious subject not covered by the other forums and not prohibited.
  • Sticky
Just scroll to the bottom of the page click style chooser then click KijijiForums now you will see the magick
Replies
28
Views
637
  • Sticky
Karibuni kwenye chumba cha mapopo. Kwa wale ambao wanakesha au kukosa usingizi mida ya wanga huu huu uzi ni special kwa ajili Yetu. NB: Huu uzi ni special kwa ajili ya mida ya wanga sio mchana wala jioni. Kuanzia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi🦉 Welcome you all
Replies
657
Views
10K
  • Sticky
Hello! Leo jukwaa limedorola sana inaonekana akikosekana Gily one day humu hakutakuwa na activities kabisa Jukwaa ni letu sote kabisa kama members wa mwanzo mnahusika kikamilifu ili baadae tujivunie jukwaa Hebu weka ushauri na mbinu ili tusije angukia pua tukarudi kule tunakofukuchwa kwa red...
Replies
34
Views
432
  • Sticky
WanaKijiji baada ya mihangaiko ya simu umechoka, huu ni uzi pekee ambao tutakuwa tunatoa mrejesho kwa maswaibu ya kila siku katika harakati za kutafuta maisha Leo bwana siku yangu haikuwa pouwa ni mambo ya ajabu mpaka nilitamani kugeuzia njiani ila Mungu alinishika mkono Karibu
Replies
12
Views
181
  • Sticky
Two things you'll then need to do: Open https://www.kijijiforums.com/webmanifest.php kisha refresh(this will make sure you don't have a cached manifest) Ondoa app na install tena (this might not actually be necessary if it picks up the new manifest from step 1 - but just in case!)
Replies
2
Views
323
Kutenga muda kwa ajili ya kupumzika ni jambo jema na la ustawi kwenye maisha yetu. Kipaombele cha kujitunza kwa kupumzika mara kwa mara ni zawadi na msingi wa afya na furaha ya muda mrefu. Vilevile kutenga muda na kutengeneza matukio ya kupumzika huchangamsha hari, na kukupa amasa kutimiza...
Replies
17
Views
117
Niaje? Hope uko gudi kama mimi.. Wadada wa kazi maarufu kama beki tatu wamekua msaada sana katika familia zetu, hii ni kwasababu ya ubize wa kutafuta maisha kwa wana familia(mme&mke).... Changamoto inakuja pale tuu unapopata dada wa kazi ambaye ni kichomi, yaani mauza uza yakutosha... Ndugu...
Replies
28
Views
321
  • Poll Poll
Lets say you find out your chikd isn't yours, would you still raise him/her? NOTE: This excludes voluntarily getting involved witsinglele moms etc. So yeah, more a question in regards to paternity fraud.
Replies
13
Views
535
  • Poll Poll
Would you stay with a woman who isn't sexually satisfied? Do you believe her when she says she is or do you gauge her satisfaction yourself?
Replies
5
Views
191
Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha; Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa Katika maisha...
Replies
12
Views
391
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia mashine hiyo haisababishi maumivu wakati mtumiaji anapotaka kujiua. Kabla ya kujiua mashine hiyo...
Replies
3
Views
582
Maisha ni safari ya kusisimua inayojaa changamoto, furaha, na mafunzo. Kila hatua inafungua milango mipya ya uzoefu, na kila siku ni fursa mpya ya kuchora njia yetu. Kuanzia Mwanzo Tunapoanza safari ya maisha, tunaletwa ulimwenguni kama kurasa tupu za kitabu. Kila tukio, kila uhusiano, na kila...
Replies
2
Views
439
We are thankful that a few months ago KijijiForums was established as TanTalk, We are going to finish the year together we had many goals but today we are together As friends and brothers, especially those who went through difficult paths together in ideas and developing the platform As one of...
Replies
65
Views
2K
Ushawahi pata hisia za kutaka kutembelea sehemu au nyumba ambayo uliishi utotoni? Una kumbukumbu za kutosha kuhusu nyumba nyumba hii au sehemu ambayo umekulia? Karibu tukumbushane maisha ya utotoni na makuzi tuliyokulia hapa. Binafsi: Nimekulia Kinondoni B. Nilikuwa naona sifa sana kujiita...
Replies
29
Views
538
Let's gift each other
Replies
34
Views
556
Mark Zuckerberg ambaye amenaza ujenzi (a mega project) wa nyumba au makazi ya ardhini a.k.a maandaki maalum (underground bunkers) kwa ajili ya kujikinga na madhara pamoja na uaribifu mkubwa hata ule unaweza kusababishwa na silaha za maangamizi za nyuklia. Ujenzi wa mabangaloo hayo yalio ardhini...
Replies
4
Views
177
  • Poll Poll
Many people confess feeling bad after masturbation session so my question is, is masturbation wrong?
Replies
28
Views
685
Wadau maisha magumu sana alafu hayako fear kabisa my plans are not completed na bado jau sana yani kero Moja ninahamu sana kuhama home kozi sasa too much kuonana poa Kupata kazi Hebu sema na wewe nini ambacho hakijakamilika mwaka huu na mwaka ndo unaisha
Replies
8
Views
336
Wagwaan wanakijiji wenzangu, Imekuwa muda mrefu sana tangu nionekane kwa mara ya mwisho humu, I hope you'all doing great as I am. Niliwamiss sana wanangu Gily Hakimu dronedrake na wengine wote ambao tulipata wasaa wa kujumuika pamoja kijijini and the special & the only one in my heart my...
Replies
14
Views
518
Have you never read this novel? Okay get in touch and discuss here
Replies
0
Views
325
Please let's know any advice or suggestions on subject.
Replies
2
Views
366
We started Kijiji with a purpose to build stronger and more homelike environment. All who care about making Kijiji more thriving, vibrant, and interesting are welcome. We hope to gather people of many ages and perspectives, including those connected to business, governments, community groups...
Replies
27
Views
855
Back
Top