Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’

Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,647
Reaction score
6,123
Points
113
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia mashine hiyo haisababishi maumivu wakati mtumiaji anapotaka kujiua.

Kabla ya kujiua mashine hiyo itakuuliza maswali matatu ambayo ni 'Wewe ni nani?, ‘Uko wapi?, na Je unajua kitakachotokea ukibonyeza kitufe? baada ya kuyajibu atabonyeza kitufe kilichopo ndani ya sanduku na atajiua.

IMG_20240322_195905_186.jpg
 
Hii kitu niliiona. Sada wabongo watatumia kamba na sumu za panya
 
Hii kitu niliiona. Sada wabongo watatumia kamba na sumu za panya
kifo cha mateso wakati hii unakufa huku unafurahi, ningependa waongeze ulevi ambayo itawafanya wasahaushida zao zote
 

Similar threads

Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
Replies
20
Views
504
Back
Top