Chatroom for Night Owls πŸ¦‰

Watu wanalala mapema huku kijijini
Mpaka nimeogopa ndiyo maana nikauliza usalama wetu .

Asubuhi wakumbushe vijana mheshimiwa raisi kuwa usiku huu ndiyo muda uwa tunakusanya CV zao na asubuhi inakuwa katumike ofisini .

Maana ajira zinatiririka huku washindwe wao kukubali kuingia utumwani
 
Hawa vijana wanapenda mademu kuliko kazi. Humu wakija wanawake vijana watajaa wa kutosha

Wanawake waliopo wanashinda kuwatongoza malalamiko ni mengi wanakimbia. Stalking all these nice ladies, hawana adabu hata kidogo

Leo members wawili wako banned kwa makosa ya utovu wa nidhamu
 
Ni hatari sana .
Kweli tunakoelekea hali ni tete .

Lakini bwana hivi leo kibegi kimekuwa moto sana au Kaizer kafifisha habari bwana huko mtaani ?
 
Mapema sana mmelala?
 
No kusinziaaaaaa
 
haha unepoteza protini zako bure
Uh Huh Yes GIF

Hopping this is the last 😬
 
Similar threads

This is for those who are awake late at night and simply can't sleep but still want to chat without having to have skype or switch tabs on another site to chat! You can talk about anything, make friends, and chitchat.
Replies
6
Views
438
I am watching Hard Kill Starring Bruce Wills (2020). This dude is old but the fun and entertainment is thrilling. Please add comments on what you watch rather than just sticking a name of what you watched.
Replies
6
Views
586
Habari za jioni Wakati tuko kijiweni washikaji kama nane hivi tunapoga story za hapa na pale. Mwamba mmoja akawa anagamba kwamba usiku wake alipoga show zaidi ya Tano tena za kibabe. Kwa akili yangu nikamjibu hiyo ni Chai "uongo" sijataka kuamini kama ni kweli. Binafsi nikipiga show tatu kwa...
Replies
45
Views
900
Back
Top