mwache huyo alisema hapendi kabisa wanaume
haha alikuambia kuwa hapendi wanaume? anapenda wanawakemwache huyo alisema hapendi kabisa wanaume![]()
mi sijui anasema wanaume ni waongo....haha alikuambia kuwa hapendi wanaume? anapenda wanawake![]()
haha kumbe anakataa ndoa ndio kwanza nasikia leomi sijui anasema wanaume ni waongo....
yuko kataandoa![]()
Acha. Bandari iuzwe tu.Habari za jioni
Wakati tuko kijiweni washikaji kama nane hivi tunapoga story za hapa na pale. Mwamba mmoja akawa anagamba kwamba usiku wake alipoga show zaidi ya Tano tena za kibabe. Kwa akili yangu nikamjibu hiyo ni Chai "uongo" sijataka kuamini kama ni kweli.
Binafsi nikipiga show tatu kwa usiku mmoja kesho sitaweza kuamka kwenda kazini na hata sitaweza kupiga show nyingine hata siku mbili zipite. Hili swala japo wengine walijigamba wanaweza nikajua tu zitakuwa story za vijiweni.
Hapa tunatupia experience, Je unaweza kwenda show ngapi kwa usiku mmoja? Kweli unaweza piga show tano na zaidi?![]()
hahaAcha. Bandari iuzwe tu.
Sasa ukipiga. Bao 5 si utakuwa legelege kama mayai aseeehahaili tuendelee kuteseka
Nani mimi? Sasa bao 5 nataka kugundua nini?Sasa ukipiga. Bao 5 si utakuwa legelege kama mayai aseee
Weeee usituambie eheeeMinimum bao tatu
Nisha piga bao tisa show kuanzia saa nne mpaka saa kumi
5 ni normal sana
Sio najifanya nikweli kabisaHaha unajifanya legendary au sio?
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.