Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha;

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,880
Reaction score
3,967
Points
113
Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha;

Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa

Katika maisha kumekua na vyanzo vingi vya mafunzo ila mimi leo nmekuja kuwaletea baadhi ya tofauti kati ya mafunzo kutoka katika maisha na shule..

Shuleni tunapewa mafunzo kwanza alafu baada ya kuwa na ufahamu unapewa Jaribio/mtihani.. which iz gud kwasababu unakuwa na uelewa na uzoefu wa jambo hilo.

Mara nyingi wanao faulu hapa ni wale wenye jitiada na uwezo wakukumbuka yale waliyo fundishwa na kuyatapika kama majibu....

Kwenye maisha ni tofauti sana na shuleni kwani huku unakutana na jaribu/mitihani au changamoto kisha kupitia hiyo misukosuko ndio unajifunza kitu..

Mara nyingi masomo tunayo jifunza kutoka katika changamoto za maisha ni masomo makubwa na yenye manufaa katika maisha yetu yote, ni mafunzo ambayo yanabadilisha kabsa mtazamo na hata namna tunavo yachukulia mambo...

Kwa kifupi mafunzo tunayopata kutoka katika changamoto na mitihani ya maisha ni haya (sio yote)

1)Nani rafiki wa kweli nani tapeli, 2)nani wakumweleza mambo yangu nani nimfiche, 3)matumizi yapi ya hela ni sahihi yapi si sahihi, 4)mambo gani yanafaa kutumia muda wangu na mambo yapi yasiyo paswa kuchukua hata sekunde ya muda wangu,

4)starehe ipi inafaa hipi haifai, 5)maneno yapi ya kuongea yapi ya kukaushia, 6)chakula gani nile na chakula gani nisile, 7)tukio gani niudhurie tukio gani nisiudhurie 8) kitu gani niangalie, na nisikilize dhidi ya kitugani sipaswi kuangalia wala kusikiliza

9) niwe mtoaji au mpokeaji 10) niwe hasi au chanya katika kushauri watu 11) niwe na chuki au nisambaze upendo..

Hayo ni baadhi tu ya mambo unayoweza kujifunza kupitia maisha...

Jambo la mwisho unalopaswa kulijua ni hili sio lazima upitie changamoto ndio upate kujifunza kupitia changamoto hizo, bali unaweza kujifunza kupitia watu wanao kuzunguka wanaopitia changamoto..
Kwa maneno mengine ni kwamba usisubiri yakukute ndio uanze kujifunza nooo jifunze kwa watu, waangalie watu kwa makini utajifunza kitu, soma vitabu vyao utajifunza kitu nk...

Mwenzako akiwa ananyolewa zako tia MAJI



Asante wana kijiji kwa kusoma bandiko hili, nakutakia siku njema...
 
Kuna kitu kinaitwa Elimu Bora na Bora Elimu.

Nataka niseme kiwa ukisoma unaweza kung'amua matatizo mbalimbali kwa kuyaletea unafuu au msaada.

Leo hii tunaweza fanya vitu vingi katika maisha kwa sababu ya elimu. Ndio maana Hayati Lowasa alitaka tupage elimu kujikomboa kwenye umasikini.

Kwa Tanzania elimu ya mtaani imekuwa na nguvu kwa sababu watu wanajifunza kutoka kwenye experience au wanajifunza kupitia matatizo wanayoyapitia. Hii inawanoa sana ndio maana imekuwa elimu viral sana kuliko ile ya kusoma kwenye vitabu huku hujaifanyia kazi

Ila ukiiva shuleni na ukaiva mtaani, utaishi vizuri.
 

Similar threads

Mimi somo la ujasiriamli sio mzuri ila leo tujadili kuhusu hivi vitu viwili Ujasiriamali na Biashara Ujasiriamali ni nini? Biashara ni nini? Vinatofautiamaje? Utajuaje huyu ni mjasiriamli na yule ni mfanyabiashara Kipi bora zaidi Kipi kinafaida kwa wengi? Stay tuned i will be back soon.
Replies
6
Views
330
Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
Replies
8
Views
289
Back
Top