Friendship & Relationship

This forum is the space for sharing thoughts, discussuon, views, and experiences about relationships, love and intimacy. Discuss topics like breakups, loneliness, and how to make new friends as an adult.

Dating Corner

Find perfect match, flirty and connect with like-minded, laid-back, and attractive people.
Threads
3
Messages
135
Threads
3
Messages
135
  • Sticky
Welcome to the Friendahip, Love and Relationships board! Please send the moderators a direct message (DM) if you have any questions or issues you need help with. The guidelines of this forum are as follows: Please keep this forum PG13. While it is often impossible to discuss relationships...
Replies
0
Views
174
What does it mean if an older woman tells you she'd want you if she were your age? I am getting uncomfortable about this. How do I live with this? Is this just innocent or she wants more?
Replies
38
Views
1K
Happiest valentine's day to all members of kijiji forums,, Leejay loves you all Katkit 🤴😘
Replies
14
Views
528
Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu. Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
Replies
63
Views
2K
May the magic of Christmas gladden your heart with the joys of the season. May the spirit of Christmas bless you with greater strength. May the promise of Christmas bring you and yours endless blessings. Merry Christmas to you all.. Kwa wale ambao mko kwenye changamoto mbalimbali Mungu...
Replies
77
Views
960
Hello kijiji forums Hope mko good, na wale ambao mko na changamoto mbalimbali nawaombea to our Almighty Allah wote mkawe healed kwa namna moja au nyingine 🤗🤗🤗 To be honest nimewamisi sana sana sana sana( Cause nawapenda sana🥹), nimemisi uwepo wenu jukwaani jamani.. Kila nikija kwenye hili jukwaa...
Replies
93
Views
3K
Let me sing 🎤 Makofi tafadhali It’s been a long day, Without you my friend, And I’ll tell you all about it, When i see you again, We’ve come a long way, From where we begin, And I’ll tell you all about it, When i see you again, No way out...
Replies
3
Views
327
Ni long time sana duuh! Miaka imepita kama mitatu na bado nipo single
Replies
10
Views
505
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
701
1. Usioe kwasababu huyo mwenzi wako mmekutana katika biashara zinazofanana.. kwahiyo ukahisi kwamba kwakuwa biashara anayoifanya na wewe unaifanya basi mtakuwa na Ndoa nzuri! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya biashara 2. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mpenzi wako mnasoma KOZI sawa kwahiyo ukahisi...
Replies
13
Views
499
Najiona wa tofauti sana.... sina dini, sinywi pombe, sishabikii michezo, mpira, mieleka sijui nini nini vimenipita kushoto😅 na ukubwa wangu wote huu bado naangalia 'katuni' Yaani nikijilinganisha na watu wa rika langu najiona tofauti kabisa, kuna vitu nilikua nafanya kwa kuiga ili na mimi...
Replies
23
Views
592
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K
We are born five kids and I'm third born in line, two girls and three boys. Sad thing is I get along well with my sisters, but with my brothers we fight alot. If my brothers were strangers wouldn't be friends with them at all.
Replies
5
Views
298
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
581
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
555
Wakuu ni uwakika? Mimi niko gud Mungu ni mwema. Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri.. Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia...
Replies
12
Views
318
Mmeamkaje Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua. Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo. Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
Replies
23
Views
697
habari zenu.. nimekuwa mtu wa mashaka sana kuingia kwenye maisha ya kuishi na mwanamke,mimi ni mkiristo huwa nafikiriaga sana kubadili dini ilinipate mwanamke aliyeshikilia dini sana,kwa sisi wa kristo huwezi pata mwanamke aliyeshikilia dini haswa,kuna walio okoka ila dini hawajui kwenye...
Replies
18
Views
425
Wakuu bwana mimi naona kwenye haya maisha yangu kupenda au kupendwa ni kupotezeana muda Hua hakuna marefu yasiyo na ncha, unajua unaweza mpenda mtu alafu yakaibuka mengine More safe kubaki mwenyewe, hakuna haja ya kuoa hakuna haja ya mpenzi Hii itakufanya ujihisi strong sana na mwenye maamuzi...
Replies
31
Views
526
babu zetu wake zao hawakuwasumbua,walipoanza zimaneno walihama nyumba tu wahamia nyumba ya mke wa pili,ujazaliwa na mwanamke yanini akupe stress?? wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya stress zinazotoka kwa wqanawake,sasa nakuambia usipate stress kutoka kwa mwanamke akikushinda achana naye...
Replies
9
Views
220
Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa...
Replies
53
Views
741
Back
Top