Hua mnashughulikaje watoto wanapokua na tabia kama hizi?

Mimi nimeanza mapenzi nilivyokua na 20,, najiuliza anapataje demu na alikua anashinda ndani mda wote,, sawa hatakama ana demu ndo awe jeuri kiasi hicho
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We nae mwache dogo aenjoy tu, kikubwa isije kuwa visevesa akageuzwa yeye ndio demu πŸ˜¬πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
unamwogopa mdogo wako?
Anyway ushauri wangu ni huuπŸ‘‡
Kwakua mnamwogopa, ni rahisi tu anzeni kufatilia kampani yake, anakaa na nani mda mwingi, wanafanya nini wakiwa pamoja, pia mjue anaekaa nae anatabia gani...
Pengine dogo ameanza kula msuba!..
Pengine wanapiga mazoezi kwahyo anaona anawamudu wote..
Pengine kapata kamapani ya kula mbususu...
Kitu kingine mtake kujua anapata wapi hela ya kununua dawa, na chakula(umesema hali home sometimes)....

vp mdogo wako ni mwanafunz?
 
Asante kwa ushauri wako mkuu...yupo likizo Anasubiri kwenda form five mwezi ujao
 
Miongoni mwa vita inayosahaulika ni vita ya mtu aliyeingia kwenye balahe na jamii .

Pole sana kwa hayo maswahibu ya mdogo wako , nasikitika kukujuza kuwa hapo mkitumia ukali na mambo ya ajabu mtaipoteza future ya huyo mtoto .
Nisichokubali ni kuwa ninyi wote ndani wote hamna ukaribu tena na huyo mtoto.

Ukweli n kuwa hata awe mbishi , mkali vipi kati yenu katika ndugu yupo mmoja ambaye bado anaweza kumbadili tabia huyo kijana si kwa viboko wala ukali ila ni kuwa hapo nenda naye taratibu sana mpate anayejamiana naye vizuri au kiasi .

Wekeni ukaribu mtaanza kujua ni nini kinamsibu kupitia huyo mtu kama ni bangi mtajua japo sidhani zaidi ni zile hormone za balehe , hivyo huyo mtu akikaa naye muda mwingi na kujiweka kama rafiki yake kuna tabia mtaanza kuona zinapotea kwake ila kuzidisha ukali mnapalia mkaa juu ya kichwa chake .

Yote yakifeli , kwa risk ya ninyi au yeye muacheni aendelee na vile ameamua asiwepo wa kumbiguzi hata kidogo , psychological manner inakuambia ataanza kuzimiss hizo favour na pia care ni hapo akihitaji mumjali tena wekeni condition himilivu kwa umri wake hapo mtamuwin mapema sana .

Ni hayo lakini msisahau kila mtu balehe huja na aina ya vurugu zake mvumilieni ni mapito anapitia tu atapona kwa yaelezwayo hapo juu .

Asanteni
 
Nimefikiria hzo dawa ni za nini?
 
akirudi shule mikiki ya kusoma atarudi kwenye relii
Naomba iwe hivyo kwakweli....

Asante kwa ushauri mkuu,, barikiwa sanaπŸ˜ŠπŸ™πŸΌ
 
Nimefikiria hzo dawa ni za nini?
Kwa umri wa kijana na dawa , sitilii shaka kuwa tayari ashaanza mapenzi hivyo kuna Shida ameipata hasa kwenye via vyake vya uzazi baada ya kushiriki tendo hivyo ametafuta dawa kapata .

Yaweza kuwa sababu ya yeye kuwa mkali mkali na pia ana imani kama atapona , natamani mngeweza hata kutegesha kamera chumbani huyo ana shida fulani kaipata hiyo ndiyo inafanya mumuone mkali sana
 
Hili wazo zuri sana angetegesha Camera ingekuwa poa sana

Kuna siku nilitegesha Camera wakati naishi na binamu yangu. Niliona anafutia jasho shati langu ikawa mwisho wa kuishi nae. Wawe makini tu maana anaweza kuwa anafanya mambo ya aibu
 
Anhaa camera bwana raha sana yaani hivi unaamini sikujua kama mke wangu anapenda kucheza mziki mpaka siku nimetegesha kamera ndiyo nikajua kama asingekuwa poti basi alikuwa ni dancer πŸ˜€πŸ˜€
 
Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Huyu mzee wao ni wao aka Watoto wa kidugala kapotelea wapi?
Replies
55
Views
1K
Baba mmoja alikuwa na mabinti Sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je, baba huyu alikuwa na watoto wangapi?
Replies
3
Views
269
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
413
Kiblia majina yamebeba tabia na mamla na wakati mwingine roho, kila jina linakua na maana yake. Na ukipewa jina baya uwezo wa wewe kuwa na tabia mbaya ni mkubwa sana. Mathayo 18:20 Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao. Jina la...
Replies
31
Views
746
Back
Top