Faith and Belief

This forum shares and discuss different faiths, beliefs and cultures of different people. This place open to anyone whether they have faith or no religious beliefs at all.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  • Sticky
Tell us what happened, how did it look, what did it say I haven't seen one yet
Replies
13
Views
395
  • Sticky
Warumi 3:28 Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria. Yakobo 2:26 Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa. Imani ya RC Catholic inaamini katika Yakobo 2:26 Kwamba "Imani bila matendo imekufa". Ila ndugu...
Replies
32
Views
792
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
154
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
330
Hagai : Mlango 2 9 Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi. Nakusalimu kwa jina la Yesu. Kwa wewe unaesoma uzi huu usikubali hata siku moja kurudi nyuma, kukata tamaa...
Replies
8
Views
381
Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
Replies
1
Views
396
Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
531
Can you tell me if the Church teaches that Joseph was a virgin, or was he a widower with children who was quite older than Mary? At the time of his betrothal to Mary, Joseph is presented as a man of old age. Where does this information come from? Was Joseph married before? Did he have other...
Replies
9
Views
453
Wapendwa nawasalimu.🙋 Nakupongeza kwa kuamua kufungua na kusoma uzi huu, Karibuuu... Ni mambo mengi mabaya na magumu na yakukatisha tamaa yametupata, hatungekuwa hapa leo kama sio kwa msaada wa Mungu. Uwezo huo wa kuweza kumudu hali ngumu na mbaya katika maisha na kuweza kusimama, baada ya...
Replies
1
Views
356
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada. Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo? Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako? Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru...... Yesu alipoinua ile mikate 5...
Replies
6
Views
343
Sitaki maoni yako, wala hayatabadili kitu wala sitarudi nyuma ninaamua sasa kuacha yote ili utukufu wa Mungu udhihirike kwangu kupitia hali ya uchungaji Moyoni mwangu Hakuna mtu mwenye kiwango kikubwa cha imani aliyepata Bure bila bidii kwa Mungu ndio ninafanya bidii ili kuishuhudia Injili ya...
Replies
2
Views
169
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
251
Imani bila matendo imekufa, habari! huo ulikuwa ukaribisho wa mada ya leo Wokovu ikiwa umeokoka na unatamani yale ya dunia basi umandhalilisha Mungu, wokovu wa kweli ni kumkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi wa mwaisha yako nakuziacha njia zako mbaya na kuubeba masalaba wako kuifuata ile njia...
Replies
7
Views
311
Niaje wandugu, refer to the heading above😁😁 Mazingira unayoishi au ulipokulia umepaona fursa au ndio kikwazo cha wewe kutusua? Je umeshawai kukaa nakutafuta kuona fursa ktk mazingira unayo kaa(unapo ishi?) Au umeshawai kumuuliza Mungu ufanye nini kutoka katika mazingira hayohayo unayo ishi...
Replies
1
Views
204
I really want to be profet or pastor but i don't know the way for success anyone with help don't be shy to god Yeah i know god is everything but he will send people for that I want to be at any cost
Replies
24
Views
633
Karibu utoe mtazamo wako kuhusu pombe, Kibinafsi pombe ni dhambi na inamadhara makubwa kwa wanywaji na wale wasio wanywaji....
Replies
29
Views
526
Kabla Ya Kuoana Shangazi Wa Bibi Harusi Anatakiwa Kufanya Mapenzi Na Bwana Harusi ili kuhakikisha Kama Bwana Harusi Anauwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa ... Shangazi kufanya ngono na mume wa mpwa wake Utamaduni wa shangazi wa bibi harusi kufanya tendo la ndoa na mume wa mpwa wake huenda likawa...
Replies
26
Views
464
Habari za wakati huu.. natumai haujambo, hata mimi niko salama sana.. Nimeanzisha uzi huu ili kujaribu kutoa tafsiri ya ndoto zako KIBIBLIA.. Kwahyo nakaribisha yeyote kushare ndoto yake hapa na mimi nitajitaidi kukupa tafsiri yake sawasawa na neno, kumbuka biblia ina kila kitu na ndio...
Replies
17
Views
518
Change does not roll in on the wheels of chance, but comes through continuous practice. You are a creator! Our words direct our lives. Our lives go where our words go. God's Spirit and angels need and use our words to work on our behalf. Do yourself a favour and zip up those negative...
Replies
1
Views
226
Hapa unaandika neno unalolipenda kutoka katika biblia Yeremia 29:11-13 BHN Maana, mimi Mwenyezi-Mungu ninajua mambo niliyowapangia. Nimewapangieni mema na si mabaya, ili mpate kuwa na tumaini la baadaye. Hapo ndipo mtakaponiita na kuniomba, nami nitawasikiliza. Mtanitafuta na kunipata...
Replies
40
Views
837
Nakusalimu mwanaKF, ninafurahi kwakua umeamua kusoma bandiko hili... karibu sana, najua utapata kitu... Luka 17:11-14 Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye...
Replies
3
Views
195
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
276
Kiblia majina yamebeba tabia na mamla na wakati mwingine roho, kila jina linakua na maana yake. Na ukipewa jina baya uwezo wa wewe kuwa na tabia mbaya ni mkubwa sana. Mathayo 18:20 Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao. Jina la...
Replies
31
Views
648
Habari zenu.. Toka nilipoanza kujitambua nimekuwa na mihemuko ya kutaka kubadili dini,na hali hii imeanza kuibuka kwa nguvu siku hizi,najua kuna kitu MWENYENZI MUNGU anataka kunionyesha ila bado sijataka kumuelewa,kweli nimevutiwa na dini ya UISLAMU,bibi mzaa mama alikuwa muislamu basi naona...
Replies
189
Views
3K
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Nichukue fursa hii kumshukuru Allah kwa afya pia Waanzilishi wa Kijiji @Gily na @Hakimu kwa kutengeneza forum hii ambayo "All voices in the village matters". Napenda kuweka uzi huu kwa wapenzi wa quran na hii ni katika kukumbushana kheri na kuamrishana...
Replies
32
Views
786
Achana kabisa na ushamba, Ukristo sio kuombaomba, na kutembea na mabahasha ya michango, kuokoka sio kukaa kanisani kusubiri tu miujiza. Fanya kazi mjomba, fanya kazi tena kwa juhudi. Wakati unamsubiria Mungu kanisani na Yeye yuko Sokoni anakusuburi ufungue biashara akuletee wateja,.. Wakati...
Replies
9
Views
248
Hi! Mungu alisha kabidhi nguvu kwako wewe mwanadamu. Kitu pekee kinacho fanya iyo nguvu kuwa dhaifu ni UJINGA (kuto kufahamu). Unaitaji maarifa ya kutosha ili uwe na uelewa kamili kwamba nguvu zote ziko ndani yako, sio kule juu mbinguni tenaaa. Unayo nguvu na Mungu ndani yako wewe kama mwana...
Replies
7
Views
182
Kupiga pasi matiti pia kunajulikana kama ‘Kunyoosha Matiti’ ni mchakato ambapo matiti ya wasichana hupigwa pasi ili matiti kutoweka au kuchelewesha ukuaji wa matiti kabisa. Inafanywaje? Huko Cameroon - Jiwe hutiwa katika moto kama kaaa kisha kupitishwa juu ya matiti kwa lengo la...
Replies
6
Views
175
Mithali 4:18 18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. Nuru inabidi ipelekwe gizani ili iangaze. Uthibitisho kwamba wewe ni mtoto wa Mungu ni uwezo wa kuangaza nuru yako hata katikati ya wasio amini na katika hali za giza. Acha nuru yako ya...
Replies
17
Views
395
Resomation The process, called resomation or "bio-cremation," uses heated water and potassium hydroxide to liquefy the body, leaving only bones behind. The bones are then pulverized, much as in regular cremation, and the bone fragments are returned to the family. Natural Burial Not so much a...
Replies
19
Views
283
Katika maisha tunasurvive kulingana na wingi wa hekima tuliyo nayo; Kwakua hekima ni mali ya thamani zaidi ambayo unapaswa kupata kila siku. Mithali 16:16 Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Juma pili njema
Replies
2
Views
185
Nini mantiki ya kutembelea waliotangulia mbele ya haki kuwaombea? Kutokana na mafundisho ya dini nyingi kuwa mtu huona mbingu au pepo kunalingana na maisha yake aliyoishi hapa duniani. Kama maisha haya ni ya kumpendeza Mungu basi ataiona Pepo. Kama hayakuwa ya kumpendeza Mungu ataenda motoni...
Replies
47
Views
763
Moja kwa moja kwenye mada.... Kutoka 2:5-10 5 Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kisafina katika majani, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta. 9 Binti Farao akamwambia, Mchukue mtoto huyu, ukaninyonyeshee, nami nitakupa...
Replies
16
Views
346
Wakuu nafanya iwe fupii ili tuende pamoja... Biblia inaeleza habari za kupanda na kuvuna, chochote anacho panda mtu ndicho anacho vuna, ilo hata wewe unalijua( well done)... Kuhusu MASKINI Biblia inaeleza tena kuwa, watu wanapewa mali na Mungu ili wasaidie wengine ili umasikini uwe...
Replies
6
Views
139
Umesha wai kuhisi kama unaitaji kumsaidia Mungu? Na ukaamua kuchukua mambo yako kwa mikono na mipango yako mwenyewe? Ndugu usijaribu kuchukua ahadi Mungu alizo kuahidi nakuzitekeleza kwa plan, na nguvu zako mwenyewe .. kumbuka biblia imetusisitiza tusiyegemee akili zetu, pia imeeleza kuwa...
Replies
11
Views
141
Nawasalim wote!✋👋 Mtu wa Mungu jifunze kuona uwepo wa Mungu katika taabu unayo pitia, katika mazingira yote tafuta kuona uwepo wa Mungu, kwani kama utakua kila wakati unaona tu matatizo na taabu bila kujaribu kutafuta kumuona Mungu utabaki katika taabu siku zote.. Mungu anakutizama kama mtu wa...
Replies
18
Views
328
Toka huu mwaka uanze nimetamani sana kumiliki uchawi,ila uchawi ninaotaka sio wa kutoa kafara,au kuua mtu. Uchawi naotaka niwakutibu watu Sitaki uchawi wa majini. Nataka uchawi wakunisaidia mimi na jamii inayonizinguka. Mfano kugundua vitu vipya Kumuweka limtu liwe linanifanyia biashara zangu...
Replies
39
Views
633
Kwema wadau wa kijiji forum Je shetani/ibilisi ni nani?? Ibilisi (Shetani)- malaika aliyeanguka ambaye Mungu alimpindua kutoka mbinguni kwa sababu yeye, akiwa na kiburi, alitaka kuchukua nafasi ya Mungu. Shetani hapo kwanza hakuwa adui wa Mungu, Yeye aliumbwa na Mungu kama walivyoumbwa...
Replies
26
Views
314
Wasalaaam.... Kumekuwa na imani mbalimbali miongoni mwa jamii yetu kuwa uchawi upo wengine wana imani haupo.. Je una amini uchawi upo???? Kwenye kijiji kimoja katika milima huko Scotland, Tonks Brown anasema anajivunia kuwa mchawi. Kwake sherehe za Halloween hazihusu tu mavazi, maboga au...
Replies
22
Views
410
Nawasalim👋 Twende moja kwa moja kwenye Neno👇 Wagalatia 6:4-5 4 Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake. 5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe. Kujilinganisha na watu sio jambo zuri...
Replies
13
Views
548
Unapofanya maamuzi mabaya, usijaribu kuyaficha au kuweka lawama kwenye mabega ya mtu mwingine. Mungu anajua tunapokuwa katika haki na tunapokuwa katika makosa. Usiwalaumu Wengine kwa Matokeo ya Maamuzi Yako Mabaya Mfano biblia mwanzo 16:3-6 Hajiri alipopata mimba baada ya Sara kumwambia...
Replies
4
Views
156
Mwisho wa dunia unaweza kuja kwa namna nyingi. Baadhi ya nadharia chache za mwisho wa dunia ambazo watu wamekuwa wakizungumzia, mfano: Kiama: Kutokana na taarifa nyingi za vitabu vya dini inaaminika kabisa kuna siku ya kiama na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Bomu la nuclear: Kama...
Replies
22
Views
299
Adhabu kuhusiana na tabia za ushoga Kuna baadhi ya wasomi wanasema dhambi ya Sodoma na Gomora ilikuwa ni kwa sababu ya matendo ya Kishoga. Mungu akatuma wageni kwa Lutu. Ila sasa watu kwa tamaa kuona malaika wale ni wazuri wakataka kulala nao. Kwa nini? Kwa nini? Kwa sababu walifika nyumbani...
Replies
21
Views
277
Bwana asifiwe. Mara ya mwisho kwenda kanisani ni 2014,mpaka sasa sijawahi kuingia kanisani huwa nasikiliza maombi na nyimbo za dini na kusoma Bible kwenye simu,kweli maisha yanabadilisha watu sana kipindi nikiwa mtoto nilipenda sana kwenda kanisani,na kanisa niliokuwa nasali ni k.k.t mjini...
Replies
18
Views
283
Damu imebeba tabia ya kiumbe, ndio maana unaona tabia za baba kwa mtoto.. waswahili wanasema mtoto wa damu yangu(mbegu/sperm)... mfano mbegu ya tikiti maji ilivo ndogo imebeba taarifa zote za tikiti maji husika na ndio maana ukiotesha mbegu hiyo itaota na zile taarifa zilizo bebwa zitathibitika...
Replies
26
Views
281
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh Kama ilivyo ada kwetu ni kukumbushana yaliyo amrishwa na mola wetu na kukatazana mabaya ni hii ktk kutengeza dunia yetu na akhera yetu. Imeamrishwa kwa kila muumini muislam siku ya ijumaa kuhudhuria swala ya ijumaa kama tunavyoona ktk sura hii Quote from...
Replies
5
Views
234
Kumekuwa na watu wengi wakijitojeza wakodai kuwa kuna madhara kulala na kioo kutazama kitanda. Inaaminika kuwa kulala na kioo kutazama kitanda huleta: Mikosi, Kukosa usingizi, Kuvunjika kwa ndoa, Migogoro, Ndoto mbaya nk., Nadharia hii inatoka wapi? Dhana kwamba hupaswi kulala mbele ya kioo...
Replies
8
Views
404
Lilith ni jina la mwanamke ambaye katika hadithi fulani za Mesopotamia ya kale anatajwa kama mungu mke ambaye anahusika na dhoruba akazaa majini. Biblia inasimulia jinsi dunia ilivyoumbwa na mwanzo wa binadamu. Katika maandiko hayo, masimulizi ya uumbaji yana changamoto kuyafahamu sawasawa...
Replies
8
Views
395
Waefeso 5:2 mkaenende katika upendo, kama Kristo naye alivyowapenda ninyi tena akajitoa kwa ajili yetu, sadaka na dhabihu kwa Mungu, kuwa harufu ya manukato. Ili kutembea na Mungu, itakupasa kupenda kama Yeye. Wasaidie wale walio karibu nawe kusimama imara, na kufanya maisha yao kuwa bora...
Replies
7
Views
211
Je, umewahi kuthubutu kuita mzimu? Tamaduni hii ya ngano inadai kwamba ikiwa unawasha mshumaa katika chumba chenye mwanga hafifu na kuimba "boody Marry" mara 3 mbele ya kioo, utamwona mwanamke akichuruzika damu katika kuakisi. Huwa wanadai aanaweza kukupigia kelele, au hata kukutazama akiwa...
Replies
8
Views
167
@Gily kwa heshima na taadhima hii ningependa kukuomb upatapo muda hulete hiki kisa hapa japo kwa ufupi tena uedit huu uzi na kutuwekea hapo chini tujue jezebeli ni nani na alihusika vipi?
Replies
9
Views
299
Uje Roho Mtakatifu Uje Roho Mtakatifu, tuangaze toka mbingu Roho zetu kwa mwangao Uje Baba wa maskini, uje mtoa wa vipaji Uje mwanga wa mioyo Ee Mfariji mwema sana, ee rafiki mwanana Ewe raha mustarehe Kwenye kazi u pumziko, kwenye joto, burudiko U mfutaji wa machozi Ewe mwanga wenye heri...
Replies
27
Views
253
Top Bottom