Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,880
Reaction score
3,967
Points
113
Zab 10:1
Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?

Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada;

Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha kabisa, waingereza wanasema (amekupa kisogo)?

Naam kama umeshawai kuwaza kwa namna hii ujue wewe sio wa kwanza, kuna mashujaa na watu wenye cv kubwa tu kwenye imani walishapitia magumu wakakaa chini wakamuuliza baba hivi upo, au umejificha, mbona uko mbali wakati nateseka? (Zaburi 10:1)

Ni hivi baba hayuko mbali, ajajificha, ajakususa, wala kukupa kisogo yeye sio mwanadamu yeye ni Mungu wapekee, tena ni mwaminifu, asemi uongo...

Yuko na wewe, anza kujifunza kumuona yeye kabla ya tatizo, hata wakati wa changamoto, utaenjoy nakwambia...

Anasema yeye ni msaada wa karibu sanaaa wakati wa shida(zaburi 46), je unamuona Mungu kama msaada wako wa karibu? Unaamini yuko pamoja na wewe? Unaamini yeye ajawai kushindwa na lolote?

Au unaamini matatizo ndio yako karibu na wewe zaidi yake? Au unaamini matatizo nimakubwa kuliko yeye?

Uwe na siku njema... byee
 
Tulikumisi sana mpendwa ni furaha tunaendelea kukumbushana na kuelimishana
 
Ansante ku tupatia neno la mu'ngu na kutukumbusha njia zima
 
Kuna mda unapitia stress, ila ukikuta nyuzi kama hizi unapata moyo sana wakati wa shida.
 
Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
102
Kabla Ya Kuoana Shangazi Wa Bibi Harusi Anatakiwa Kufanya Mapenzi Na Bwana Harusi ili kuhakikisha Kama Bwana Harusi Anauwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa ... Shangazi kufanya ngono na mume wa mpwa wake Utamaduni wa shangazi wa bibi harusi kufanya tendo la ndoa na mume wa mpwa wake huenda likawa...
Replies
26
Views
527
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
388
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
415
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
495
Back
Top