Yuko wapi mzee wetu - Watoto wa Kidugala

Maswala ya ukitoa 500 unamwagiwa maji na alietoa 100000 kuombewa vizuri no
Kuna watu wanaenda huko.. Na wanashuhudia kila siku, au ni vya uongo 🤔🤔
 
Hahaha iko siku watatuona mwiba
Nikipata maokoto nanunua server kila wakifanya backup nawapa corrupted files baada ya miaka kumi naunguza server room
 

Similar threads

Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
713
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629
Toka huu mwaka uanze nimetamani sana kumiliki uchawi,ila uchawi ninaotaka sio wa kutoa kafara,au kuua mtu. Uchawi naotaka niwakutibu watu Sitaki uchawi wa majini. Nataka uchawi wakunisaidia mimi na jamii inayonizinguka. Mfano kugundua vitu vipya Kumuweka limtu liwe linanifanyia biashara zangu...
Replies
39
Views
781
Nawasalim wote!✋👋 Mtu wa Mungu jifunze kuona uwepo wa Mungu katika taabu unayo pitia, katika mazingira yote tafuta kuona uwepo wa Mungu, kwani kama utakua kila wakati unaona tu matatizo na taabu bila kujaribu kutafuta kumuona Mungu utabaki katika taabu siku zote.. Mungu anakutizama kama mtu wa...
Replies
18
Views
388
Back
Top