Wapi nitapata uchawi??

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Nikiwa naanza kazi katika umri wangu nilisikia sana habari ya uchawi na wachawi .

Nisiwe muongo nilitamani sana kuwa mchawi ila modernized wizard bahati mbaya sehemu zote nilizotembelea na kufanya kazi nilijaribu kuwaulizia watu kuhusu uchawi na vipi naweza kuununua ila wote walinidanganya kila nilikoenda sikufanikiwa nikawa naishia kuambiwa hili mara lile ila ukweli nikaukosa .

Rasmi nikiwa na miaka 49 , nililelewa sana siku moja nikawa nimekaa bustanini kwangu nikawa nawaza mpka sasa mimi nimebakiza nini hapa duniani na vip nimetimiza malengo yangu au bado ?
Bahati mbaya nikajua siidai tena dunia chochote ila lengo la kuwa mchawi limefeli .
Nikiwa katika hizi fikira nikakumbuka niko vijijini ambako haya mambo husemekana basi kila nikiwa bar sikuacha kufanya utafiti wangu mwisho nadondokea kwa mzee mmoja aliyenizidi miaka kama minne hivi .

Mzee aliitwa mzee moja naye ni baada ya kuweka mazoea naye sana baada ya watu wengi kudai ni mchawi siku ya siku nikamuomba tujumuike kwangu chakula cha mchana .

Baada ya urabu kidogo mimi na mzee mwenzangu tukafika kwangu tukala baada ya hapo tukakaa uwanjani nikaagiza tena urabu tukaendelea kunywa ila badae ikabidi nifanye vile wazungu wasemavyo .

"Where there is the wine there is the truth "😀😀 nikamchana kwa maombi mengi kuwa kaka nasikia wewe ni 😀😀 sasa mwenzio nataka unifundushe bwana nimechoka kudharaulika na wafanyakazi wenzangu na pia nataka heshima kuliko yeyote .

Ndugu wanakijiji ukweli yule mzee mpka leo haniangalii usoni na pia urafiki uliishia pale na pombe zilimuishia pale .

Itoshe kusema utafiti wangu umeshindwa kumalizika kwa kutecommend kuwa uchawi upo au haupo japo kwangu mbali na utafiti naamini upo na bado napambana kuutafuta nataka.

Thanks
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0

ni kweli kabisa ni ngumu kuupata,

hamna aliyewahi kuupata mpaka leo hii
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805

Uchawi upo hukudhamiria kuutafuta
 
Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Unao nije nikae darasani ?
Uchawi unanunuliwa Nigeria. Unashindwaje kwenda Nigeria kujimilikisha uchawi?

Wachawi sio masikini hata kidogo
Uchawi unanunuliwa mpaka million 200
Ukiwa masikini utakuwa msumbufu tu
Ukiwa na uchawi mkubwa hata hapo mtaani utakuwa mfalme
Unabebwa kwenye kiti cha kifalme
Utakuwa mtawala na washirika wako watakuwa watumwa wako

Hutakiwi kuogopa Kyla nyama za watu ba kutoa kafara
 
Similar threads

Huyu mzee wao ni wao aka Watoto wa kidugala kapotelea wapi?
Replies
55
Views
1K
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629
Nawasalim wote!✋👋 Mtu wa Mungu jifunze kuona uwepo wa Mungu katika taabu unayo pitia, katika mazingira yote tafuta kuona uwepo wa Mungu, kwani kama utakua kila wakati unaona tu matatizo na taabu bila kujaribu kutafuta kumuona Mungu utabaki katika taabu siku zote.. Mungu anakutizama kama mtu wa...
Replies
18
Views
388
  • Question Question
kila binadamu ana ndoto zake ndoto mojawapo ni kusafiri na kufika sehemu ambayo umewahi sikia uzuri wake au labda uajabu wa sehemu hio, Asikuambie mtu kuna ile feeling ile ya unaenda sehemu for the first time afu ulikua unapaota kumbuka enzi hizo ndo unaenda Dar, Arusha au kwa babe (ulikuwa...
Replies
9
Views
389

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom