Friendship & Relationship

This forum is the space for sharing thoughts, discussuon, views, and experiences about relationships, love and intimacy. Discuss topics like breakups, loneliness, and how to make new friends as an adult.

Dating Corner

Find perfect match, flirty and connect with like-minded, laid-back, and attractive people.
Threads
3
Messages
135
Threads
3
Messages
135
Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa...
Replies
53
Views
743
Ipi ni njia sahihi ya kutafuta mwenza wako? unatakiwa umchague kwa kutumia akili? au umchague kwa kutumia moyo wako? Ukitumia moyo wako kumchagua inawezekana kwa asilimia kubwa hana sifa baadhi ambazo zinawaunganisha. Unaweza mpenda mke wa mtu, kwa sababu umempenda kwa moyo ukamchagua...
Replies
44
Views
754
Moja kwa zote kwenye mada👇 1. Unakuta kwenye familia kuna vitu maalumu(vizuri) kama saani au vikombe, ambavo hivi ni kwa ajili ya wageni na vina kaa kabatini.. uruhusiwi muvigusa utapigwa uuwawe... Tabia hii ni mbaya maana unawajengea watoto wako, kujiona duni... Pesa unatafta kwa ajili ya...
Replies
14
Views
334
Ukitembea na kuzungumza na vijana wengi wa sasa wanakuambia ukiwa na pesa ‘utang’oa’ demu wa aina yeyote, kwa sababu huwa hawana ujanja panapo mapesa. Na hili linadhihirishwa na wengi wanapobadili wanawake kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha. Na hata wanawake wenyewe nao wanaonekana kuhamasika...
Replies
18
Views
382
Habari zenu... Inawezekana upo katika uhusiano na tapeli wa mapenzi bila kujua, hiyo ni sumu na unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kumchunguza mpenzi wako mapema isije kuwa upo kwenye foleni! Hakuna kitu kibaya kama kuwa katika foleni ya wapenzi kwa mpenzi mmoja, tena mbaya zaidi awe ni yule...
Replies
4
Views
180
- Kuwa na maisha kamili/ full. - Kufanya maamuzi haraka, haina aja ya kushirikisha mtu.. mfano umepata kazi inayo kutaka kuama mkoa nk - Imarisha kazi au biashara yako bila kizuizi chochote, - Ishi maisha kwa njia yako mwenyewe. - Ishi bila kushughulika na fujo za mtu yeyote. Ongeza zingine
Replies
21
Views
361
1. Marafiki wazuri hujadili MAWAZO, si watu wengine. 2. Marafiki wazuri hupata FURAHA unapofanikiwa. 3. Marafiki wazuri hutafuta KUTOA, sio tu kuchukua kutoka kwako. 4. Marafiki wazuri WANAKULINDA wewe/ na wadhifa wako. Wewe nirafiki wa aina gani?
Replies
12
Views
302
Weeee jua limekuchwa, macho ya mekataa kutoka kwake, mawazo yamekwama tatizo ni boss, kila nionapo neno lake moyo unahangaika, jamani nifanyaje Nipeni mbinu nimwambie 🤷, namuona kama malaika kwangu dhambi hana Sikia mpendwa wangu Hakimu mimi kwako nyang'anyang'a, live longer 😘🥰😍
Replies
68
Views
824
Ni jambo zuri kuwa na marafiki mkiwa mnasaidia na kushirikiana kwenye maswalq mbali mbali. Nikiwa mdogo nilikuwa na marafiki wa kutosha. Baada ya kuhama nilipokulia nimejuana na wengi bado siwezi waita marafiki. Mda mwingine najiuliza hivi nikienda kuoa nitasindikiza na nani? Nimejaribu...
Replies
45
Views
612
Watu wengi wameendelea kuzungumzia suala la maadili, hasa kwa vijana. Kwa mfano hili wimbi la panyarodi linaloendelea kutajwa kwa vitendo viovu, hii ni miongoni mwa sababu kubwa ya mmomonyoko wa maadili. Inaonekana dhahiri baadhi ya wazazi wameshindwa kutimiza jukumu la malezi ya watoto wao...
Replies
10
Views
176
Dah kunanyimbo fulani hivi ukizisikia zinatia huruma sana na kukukumbusha majonzi Mimi hizi 1.Macvoice ile nyota mwezi nini chozi (jina nimesahau 😁) 2.Unaempenda kam mpenda mwingine, usilazimishe utazeeka vinaya Wewe je? (Weka audio ikiwezekana @Gily nisaidie kuweka majina ya hizi...
Replies
60
Views
698
Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi za ukoo wetu. Hiki kitu kinachoitwa mila na...
Replies
17
Views
411
Wanaume wengi waliooa hawapendezwi na urafiki kati ya wake zao na wanaume wengine. Wengine wanaenda mbali sana kukataza wake zao wasijichanganye na wanaume. Wanawake walio kwenye ndoa wengi wanajikuta marafiki zao wakubwa ni mashemeji zao na ndugu zao. Japo wanajichanganya na wanaume hukuti...
Replies
11
Views
293
Oscar Wilde said, "To live is the rarest thing in the world. Most people exist. That's all." Living means that you are enjoying life, doing things that you like and that you are chasing your dreams and fulfilling your goals. On other hand, merely existing means that you are simply breathing...
Replies
42
Views
437
Wakuu nauliza tu kwa nia njema, je unafikiri kuna mapenzi siku za hivi karibuni au tamaa na maslahi binafsi yamewekwa mbele Binafsi siamini kabisa katika mapenzi, naona ni kama kupoteza muda nasubiri vijana wenzangu wa kataa ndoa tuje hapa tushushe nondo Watu wanauana sana, full stress no...
Replies
18
Views
329
Wanawake wa jamii ya Buganda, wasukuma na kutoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania huwa wana utaratibu wa kupiga magoti wakati wanapoandalia wanaume chakula na wanaposalimia. Tunaona wanaume kutoka Tanga, Zanzibar na Pwani wakienda sokoni na vikapu kununua mahitaji ya nyumbani Kumekuwa na...
Replies
9
Views
201
Amani iwe nanyi wanakijiji Kuna video naona imetrend ya mwanaume ameoa wake watatu kwa wakati mmoja. Nimeshangazwa kuona tu upokeaji wa swala hili kwa watu umekua wa ajabu sana. Kweli jambo hili si mara nyingi kutokea lakini tukilitizama kwa mtizamo chanya mwanaume huyu kawastiri wanawake...
Replies
33
Views
719
Wanakijiji amani ya Mungu iwe nanyi Naomba msaada kwa ajili ya mtoto huyu wa mjomba. Kwanza mjomba alizaa na mwanamke wa kichagaa wakaachana sababu sifahamu kwani nilikua mdogo kiasi. Sasa baadae mjomba akaja kuoa mwanamke mwingine wa kichaga ambae yupo bae mpaka sasa. Msaada ninao taka kutoka...
Replies
12
Views
311
Back
Top