- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
mimi ni muumini wa kawaida,Kanisa lako liko wapi
mimi ni muumini wa kawaida,Kanisa lako liko wapi
Mbona una mistari hivyo umeifadhi kwenye calculatormimi ni muumini wa kawaida,
I know about bible a lotMbona una mistari hivyo umeifadhi kwenye calculator
Ninawitouchungaji ni wito, sio kitu chakutaka...
Wito wa niniNinawito
UchungajiWito wa nini
Safi jitahidiUchungaji
hapo sawa, achana na mimi sasa jikite kwa aliye kuita... accept the callings,, msikilize, msikilize kwa utulivu, mngojee, mngoje bila kuchoka... He will talk to you...Ninawito
Where na saangapi?hapo sawa, achana na mimi sasa jikite kwa aliye kuita... accept the callings,, msikilize, msikilize kwa utulivu, mngojee, mngoje bila kuchoka... He will talk to you...
ulijuaje amekuita?Where na saangapi?
Nishajichokea nafuta maisha sasa
Sikudanganyi mkuu ni serious sio story za kijiweni
Kila nikisema uchungaji moyo unadunda paa alafu nakuwa na matamanioulijuaje amekuita?
where=soma tena post no.38
hahahaha(sijacheka kwa ubaya)Kila nikisema uchungaji moyo unadunda paa alafu nakuwa na matamanio
I have no commenthahahaha(sijacheka kwa ubaya)
Uzuri ni kwamba Miili yetu na viungo vyake vinaweza kusikia presence ya Mungu lakini akili zetu zisisikie au isikie ila utake ku reason na nikwasababu tumefeed nafsi zetu mambo mengi yasiyo yaki Mungu,,, listern to yourself bro, there is part of God in you, ..
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.