Unachaguaje mwenza wako?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Akisubiri sana macho yatapoteza nguvu kumtambua chaguo sahihi😯😯😂😂😂
Exactly what i am telling him
Ingawa nadhani hajafikisha hata miaka 25 ana nafasi
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Me nipo rafiki yangu...mambo tu yamekua mengi mengi sikuizi 😊ila nipo
Maisha yako hivyo. Naona umeenjoy birthday ukala keki mwenyewe
 

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Maisha yako hivyo. Naona umeenjoy birthday ukala keki mwenyewe
Sema ndo nliienjoy alone,, nlitamani hata wanakijiji wote mje mnisapoti...hata sikufurahia kiivyo 😌
 

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Maisha yako hivyo. Naona umeenjoy birthday ukala keki mwenyewe
Sema ndo nliienjoy alone,, nlitamani hata wanakijiji wote mje mnisapoti...hata sikufurahia kiivyo
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sema ndo nliienjoy alone,, nlitamani hata wanakijiji wote mje mnisapoti...hata sikufurahia kiivyo
Sio mbaya next time hutakuwa alone
 

Similar threads

Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Vp kwa mlio makazini mishahara yenu inatosha? maana naona kila siku gharama zinaongezeka... Tupe mbinu unayo tumia kubalansi mshahara uleule zidi ya ongezeko la gharama za maisha...
Replies
32
Views
640
Iko hivii.. Zuia ulimi wako usinene mabaya Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye penda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Ikiwa unataka kuwa na maisha yenye furaha na amani basi chunga sana unayoyasema...
Replies
2
Views
139

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom