Mshahara wako unatosha?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Haha ulifeli hapo umeshindwa kula sambamba na kipofu mzee wangu
Dada yake angekuweka kwenye mstari bado wana marafiki wa kutosha tu

Ila sasa hivi naona simu zako za msoga zitakuwa haziiishi. Tanzania one atakuangusha hata kama mnafahamiana
Akinitupa Tanzania one basi na huu uzee nitajuaa kumbe kikulacho ki nguoni mwako
 
Dr santos

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
251
Reaction score
571
Points
0
picha iko wapi
Hii comment wasipoelewa hawa vijana basi

Iko hivi wakati naanza kufanya kazi Access bank nilikuta watu wamenenepa kweli. Cha kushangaza take home baada ya makato ilikuwa ni 320,000/- Sikutaka ku disappoint aliyenipeleka nikaona ngoja nikomae mwezi niache. Nilikomaa kwa akili ya kuacha huku na set mambo yangu mengine

Kweli in a month nikaacha ila nilinotice kitu. Wengi hunenepa hata kama wanalipwa kiasi kidogo Ukiona hela unaridhika hata kama hela za watu. Sema sio matusi kufanya kazi bank kunakufanya unalemaa sana. Tena wanaume wanakuja na hela wewe unawahesabia (no offense). Ila japo wote hawawezi kujiajiri vijana watafute kazi zenye maslai mazuri.

By 30 naishi kama mstaafu miaka yote naamka saa nne. Ila sadly miradi mingi iliingiwa na mikosi. Ila sasa nataka nisimame niifika 40 nataka niwe naamka saa sita mchana😬
 
Similar threads

Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Ipi ni njia sahihi ya kutafuta mwenza wako? unatakiwa umchague kwa kutumia akili? au umchague kwa kutumia moyo wako? Ukitumia moyo wako kumchagua inawezekana kwa asilimia kubwa hana sifa baadhi ambazo zinawaunganisha. Unaweza mpenda mke wa mtu, kwa sababu umempenda kwa moyo ukamchagua...
Replies
44
Views
754
Iko hivii.. Zuia ulimi wako usinene mabaya Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye penda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Ikiwa unataka kuwa na maisha yenye furaha na amani basi chunga sana unayoyasema...
Replies
2
Views
139

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom