Upi mtizamo wako kwa jamaa alieoa wake watatu kwa pamoja

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
kuoa watatu kwa mpigo
Hata wanne kwa siku moja haina tatizo
Ika ujue hata wapendane vipi faragha ni muhimu, hvyo usidhani hawa wanawake watavua nguo wote mume awapange hapo wafanye jimai ila kila mtu atakua na wakati wake
 

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Ebana hii 4some
Inafaaa kuoa hata wanne as long as masharti ya ndoa yametimia
Ila kuita sijui threesome or four some sio sahihj huu ni uchafu unafanywa na wasio kua na hofu ya mungu na kubwa ni dua mungu awaongoze mtoke kwenye uchafu huo na ambao hatufanyi hayo Mungu azidi kutueka mbali na hayo
kuoa watatu kwa mpigo
 

Similar threads

Kwa Nini Levina Alijiua ? Katika toleo la Sauti ya Siti lililochapishwa mwanzoni mwa 1990, mwanahabari Chemi Che-Mponda alielezea kushindwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kujibu malalamiko ya mara kwa mara ya Levina ya unyanyasaji wa kijinsia na kifo chake cha kujiua. Shangazi yake Levina na...
Replies
4
Views
251
  • Question Question
Kumekuwa na tetesi kuwa kutajiri mtoto wa kiume katika umri mdogo humfanya awe na kibamia. Uchagani ilikuwa kijana lazima atimize umri wa kuoa kwanza ndipo anafanyiwa tohara. Wakati anafanyiwa jando mkewe mtarajiwa anakuwa chumba cha pili anasikiliza kama mumewe mtarajiwa atapiga kelele au...
Replies
12
Views
658
  • Question Question
Je niumri gani sahihi kufanya maendeleo?
Replies
14
Views
294
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom