Nampenda Mpenda Sitaki Mwingine 🥰😍

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Kakataliwa na nani? nitag😄
Anajua mwenyewe muulize tu.
😅😅😅🤣🤣🤣🤣 Anavyonisemaga kuwa nina kosa madem mtaani mpaka nakuja jf yy sijui hajioni??

Kuna dem kwenye love connect alianzisha uzi wa kutafuta mume na kwenye uzi akamtag mshamba kuwa hataki type hizo maana ni mtoto bado anajitafuta.

Imagine new member anakuwa kakujua tiyari 🤣🤣🤣 hii si gundu hilo
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Anajua mwenyewe muulize tu.
😅😅😅🤣🤣🤣🤣 Anavyonisemaga kuwa nina kosa madem mtaani mpaka nakuja jf yy sijui hajioni??

Kuna dem kwenye love connect alianzisha uzi wa kutafuta mume na kwenye uzi akamtag mshamba kuwa hataki type hizo maana ni mtoto bado anajitafuta.

Imagine new member anakuwa kakujua tiyari 🤣🤣🤣 hii si gundu hilo
mshamba_mkuu kama ni kweli basi karibu dar twende beach ukaoge
 
Similar threads

Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano. Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Replies
17
Views
587

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom