- Jun 5, 2023
- 383
- 946
- 0
Ni serious mkuu. Unadhani nataniaKazi kukwepa majukumu tu
Mimi @Hakimu na @mshamba_mkuu
Ni age mates kabisa (19-20) hapo sasa mapenzi tuyajulie wapi.
Ni serious mkuu. Unadhani nataniaKazi kukwepa majukumu tu
aisee, em tuwe tunapeana shkamoo kwa kweliage mates kabisa (19-20)
We mzee upo range kwanza isijekuwa kama @Gily ni 30 hapo anataka salamu.aisee, em tuwe tunapeana shkamoo kwa kweli
sitaki gwaragwara tu
Duuh haya bananakaribia 33
Unajizeesha unataka kufa kwani?aisee, em tuwe tunapeana shkamoo kwa kweli
Unajizeesha unataka kufa kwani?
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.