Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote?
Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
kitu gani umekaa nacho mda mrefu kuliko kawaida, kiatu, nguo, simu, saa, notebook, mkanda, meza, shuka, mto, cheni, miwani, radio, kata kucha,... mimi kuna mkanda nmeuvaa kwanzia form one mpaka leo upo nimeuona leo nmeusikitikia sana...
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada.
Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo?
Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako?
Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru......
Yesu alipoinua ile mikate 5...
Ukitembea na kuzungumza na vijana wengi wa sasa wanakuambia ukiwa na pesa ‘utang’oa’ demu wa aina yeyote, kwa sababu huwa hawana ujanja panapo mapesa. Na hili linadhihirishwa na wengi wanapobadili wanawake kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha.
Na hata wanawake wenyewe nao wanaonekana kuhamasika...
KITU NACHOTAKA BABA NINAHITAJI KUSOMA
Hodi hodi naingia, baba bora umekuja
kuna jambo kukwambia, nisikize mara moja
shairi nakusomea, sikiliza zangu hoja
kitu nachotaka baba, ninahitaji kusoma
wala 'sinipe kibaba, na shamba la kulima
eti unipe mbaba, na ndoa ya mapema
so niishie la saba...