mwanaume

  1. Hakimu

    Ni umri gani sahihi kwa mwanaume kupata watoto?

    Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
  2. Gily

    Kutovaa pete za ndoa kwa wanaume

    Kumekuwa na nadharia kuwa wanaume wengi ambao wameoa hawapendi kuvaa pete za ndoa. Je ni kweli? na kama ni kweli kwa nini hupendi kuvaa Pete ya ndoa?
  3. Gily

    Wanaume tumeumbwa mateso

    Kuna nyimbo inaimba "wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika" Hawa hawakuwa wengine bali ni Msondo Ngoma. Kula chuma hicho
  4. Gily

    Vasectomy- mpango wa uzazi kwa wanaume kwa njia ya upasuaji

    Upangaji Uzazi Kwa Waume Kupitia Njia Ya Upasuaji Ni Nini? Ni upasuaji wa mshipa unaopitisha mbegu za kiume, ili mme asiweze kumpachika mke mimba. Ni njia ya upangaji uzazi ya milele. Njia Hii Hufanya Kazi Vipi? Njia hii huzuia mbegu kutoka kwa makende na kuchanganyika na shahawa. Mbegu...
Back
Top