php

  1. Hakimu

    What's makes you happy and busy?

    Hellow! Leo tuzungumze kitu gani kinakuweka very happy kufanya Binafsi i love coding hasa backend na Databases hua najisikia raha sometimes mpaka nasahau kuwa natakiwa kusoma masomo ya darasani, hasa ninapo learn new language or concepts (hua nafuatilia pia how others do) ili kujifunza easy...
  2. Hakimu

    Jifunze PHP coding

    Kwenye Thread hii nitakuwa naleta mafundisho ya PHP kidogo kidogo mpaka tutakapofikia level za kuunda dynamic website yetu Nimuhimu kuwa na uelewa na HTML kidogo ili kuendelea
  3. Hakimu

    Ulichukua Muda gani kujifunza Programming language

    Soon as I can I want to learn a new language. Mimi ni mwepesi kujifunza na mambo mengi napenda kujifunza mwenyewe (self taught). I want to ask you guys how long did it take to learn one language? I took short time to learn PHP na JS ila kwenye MYSQL nina week kadhaaa bado sijafika mbali...
Back
Top