uvivu

  1. Hakimu

    Uvivu

    Uvivu ni hasara Uvivu ni umasikini Uvivu ni utumwa Tujishughulishe katika kupambania ndoto, mvivu husema kwani si tutakufa tutaviacha, je watoto wako waishi kama wewe Oya hii ni motivation zamani nilikuwa mvivu sana ila now nachapa sana kazi
Back
Top