wanawake

  1. Gily

    Unafahamu unaweza kupata mimba ukiwa na mimba?

    Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
  2. Hakimu

    Lilith Mke wa kwanza wa Adam

    Lilith ni jina la mwanamke ambaye katika hadithi fulani za Mesopotamia ya kale anatajwa kama mungu mke ambaye anahusika na dhoruba akazaa majini. Biblia inasimulia jinsi dunia ilivyoumbwa na mwanzo wa binadamu. Katika maandiko hayo, masimulizi ya uumbaji yana changamoto kuyafahamu sawasawa...
  3. Gily

    Ugonjwa wa mabusha sio kwa wanaume tu, hupata pia wanawake.

    Wengi hawajapata kufahamu kuwa wanawake pia hupatwa na ugonjwa wa mabusha.
Back
Top