wazazi

  1. The great manenge

    Wazazi wako fumbo lako..

    Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi za ukoo wetu. Hiki kitu kinachoitwa mila na...
  2. Hakimu

    Faida, hasara mtoto kulelewa na mzazi mmoja

    Watu wengi wameendelea kuzungumzia suala la maadili, hasa kwa vijana. Kwa mfano hili wimbi la panyarodi linaloendelea kutajwa kwa vitendo viovu, hii ni miongoni mwa sababu kubwa ya mmomonyoko wa maadili. Inaonekana dhahiri baadhi ya wazazi wameshindwa kutimiza jukumu la malezi ya watoto wao...
Back
Top