Apps ambazo haziwezi kukosa kwenye simu yako

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Drizian

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
90
Reaction score
237
Points
0
Habari za muda huu all villagers.

Kutokana ukuaji wa matumizi ya simu za mkononi na uwanda wake mpana wa matumizi mbalimbali applications mbalimbali zimetengenezwa kurahisisha mambo .Mimi hata nipoteze au ninunue simu mpya hizi ndizo orodha ya apps zangu ambazo haziwezi kukosa.

1.Whatsap : Njia kuu ya mawasiliano, chatting na connection muhimu za watu mbalimbali

2.WPS : kusoma documents mbalimbali na vitabu ,mimi ni mlevi mkubwa wa vitabu tokea shule ya msingi.

3.Youtube : Ni nyezo yangu kuu ya kuwatch video mbalimbali kuhusu habari ,historia na mafunzo mbalimbali.

4.Vidmate : Kudowload video za Youtube ili zisisave moja kwa moja kwenye file la simu na Kudowload status za watu .nikizipenda

5.YouCut : Kuedit video kama vile kukata kipande kwenye video ndefu ,kuweka maandishi ,kuingiza audio ,kutoa sauti nk .

6.Qur'an app : Kwa ajili ya kusoma aya za Qu'ran

7.Esay Qu'ran : Mahususi kwa ajili ya kuangalia muda wa swala nikiwa eneo lolote nawasha location inanipa majibu sahihi ,kuangalia Calendar ya kiislamu

8.Dream Soccer league app : Nikiwa sina cha kufanya na nimechoka naitumia kujifurahisha kucheza game ya mpira haswa online matches .

9. Xender : Kwa ajili ya kushare vitu

10. Instagram : Mara moja napitia haswa nikiwa Wi-Fi zones kucheki taarifa mbalimbali na kuwacheki watu ,kampuni za kibiashara.

APPS MAARUFU NISIZO TUMIA.

1.Twitter : Tokea nizaliwe sijawahi kuwa na account ya twitter sababu nilitishwa Mb zinaenda nyingi mimi kama Uwabata nikapiga chini ,kingene nikaambiwa ya wasomi ,washua mijadala mizito kingereza kingi kupata hata followers kazi na unaweza kupost kitu mtu mmoja tu aliyeview au kucomment .Mwisho nikagundua hata vitu vya twitter na mijadala naweza kupata vizuri katika site nyingine ila nina imani siku moja nitajiunga

2.Tiktok : Sijawahi kujiunga wala kutamani naona upuuzi mwingi yaani hakuna mdada wa hovyo anayekosa tiktok(nisameheni wadada smart ambao mpo tiktok), ni vichekesho tu ,watu kuvimba ,kutafuta mademu nk.

3.Facebook : Sina account kabisa niliwahi kufungua kwa ajili ya kujiunga sehemu fulani maana walitaka FB account, nayo niliona ushamba mwingi watu kijiphotoa nothing more japo FB kidogo naipa credit mambo mengi muhimu yanafanyika ,kuna habari mijadala ,hadithi nzuri ,makala nk.

4.Tellegram : Nilikuwa nayo kuna muda fulani baada ya kupata simu mpya sijaiweka nasikilizia kwanza coz sina matumizi nayo makubwa na muhimu na Mb nyingi zianenda kwenye video ila ni app makini sana.

#UziTayari
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
1. Bible vision zote,
2. Guitor tuner,
3. Gbwhatsapp
4. Telegram.
5. Tweeter- X
6. Ebay
7. WPS
8.Shazam
9.Boomplay
10.To do list.
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Kwenye simu yangu ni WhatsApp na Kijijiforums
Kwenye PC
Kijijiforums
Visual studio code
Xampp
Vlc
 

Similar threads

Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo. Virutubisho katika papai Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C, Vitamini A, Vitamini B9, Potasiamu, Kalsiamu na Magnesiamu. Faida...
Replies
5
Views
129

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom