Are you affected loved one being an addict?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Have you been affected by someone close drinking or using drugs? We may be parents, children, spouses, partners, brothers, sisters, other family members, or friends, of alcoholics or drug addicts. No matter what our specific experience has been we share a common bond: we feel our lives have been affected by someone else’s subastance abuse.

Please use this thread if you want to share your experiences or just vent if you are affected by a loved one who drinks or does drugs.
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
mzee na bamdogo mmoja walifariki kwasababu ya hypertension, walizidisha tungi hata baada ya daktari kuwaonya walishindwa kabisa,

kuna binamu mmoja alifariki kwa ajali, alikua anaendesha akilewa, alikuwa 26 tu....

ogopeni pombe...
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
nimezaliwa nmekuta kwetu wanauza pombe za kienyeji, kwahyo walevi nlikua nawaona,
Uchagani unywaji wa pombe ni wa kupitiliza. Siku nimekaa baba yangu mdogo anavua nguo anajikojolea ndio siku nikawaza unywaji sio mzuri nikaapa kuacha

Ila sikuacha nikawa naonja onja
Siku tumetoka na gari la msiba tukalala Himo. Pale jamaa wakatoa mzinga wa K Vant wakati tunapiga kahawa Tukachanganya Vant na kahawa za moto. Tumeingia Rombo mapema saa mbili tumechoka tumelewa tukalala hata msiba hatukuweza kuzika

Kesho yake tukawekwa kikao pigwa fine ya mbuzi. Toka siku hiyo nikasema siji kunywa pombe tena. Ila sasa kweli sijanywa bia huu mwaka wa sita hivi, ingawa mbege nashindwa kuacha kabisa. Nikihisi harufu ya mbege nachanganyikiwa. Juzi nilikuwa na mafindo findo nikakuta wenzangu wanakunywa K Vant nikapiga kama maji sio poa

Matarajio yangu ni kuacha kabisa pombe ingawa nimebadilisha uraibu wa pombe na kuwa mraibu wa kahawa sana. Napenda kahawa nakunyw mpaka inanimate madhara. Hapa kuna coffee corner nimeanzisha kwa wapenda kahawa wenzangu Ila pia nitaanzisha uzi wa kutiana moyo kupunguza matumizi ya kahawa. .
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986

😁 mafindofindo, lakana nayo
 
Similar threads

Death is a great mystery to man, although many who have tried to solve the mystery of death have failed. Even expert scientists have tried to create Eternal life but death called them. Here through this thread we will remember our loved ones who have died by giving them greetings of love and...
Replies
19
Views
582
What does it mean if an older woman tells you she'd want you if she were your age? I am getting uncomfortable about this. How do I live with this? Is this just innocent or she wants more?
Replies
38
Views
1K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom