ah wee condom bei rahisi kuliko nepi@mshamba_mkuu @dronedrake njooni mnionyeshe watoto wenu wa kusingiziwq
wako kwenye flana yangu pendwa (beat-off rag)@mshamba_mkuu @dronedrake njooni mnionyeshe watoto wenu wa kusingiziwq
Katoto kazuri jamaniHello
Jana tarehe 29 mwanangu wa mwisho katimiza miezi mitatu. Wengi huniita mwarabu au president nataka niwajulishe kuwa naitwa pia baba Ivan. .
View attachment 395View attachment 396
I wish him all the best
View attachment 394
Anakua amefikisha miezi mitatu Ngoja nifanye kazi kwa bidii nihakikishe hali mihogo kama baba zake wadogoKatoto kazuri jamani
Kwakweli, fanya hivyoAnakua amefikisha miezi mitatu Ngoja nifanye kazi kwa bidii nihakikishe hali mihogo kama baba zake wadogo
Huyu jamaa ni mashine ya photocopyKatoto kazuri jamani
Kazuri kama baba yakeKatoto kazuri jamani
Nimeona aisee ,, hope na @Katkit atakua hivyohivyoHuyu jamaa ni mashine ya photocopy
Atakua amefanana na mama yakeKazuri kama baba yake
Unataka mtoto afanane na kikarakosi cha mchawi karaba?Nimeona aisee ,, hope na @Katkit atakua hivyohivyo
Mtetee Ex wakoAtakua amefanana na mama yake
Mimi refa sikosi card
Unataka mtoto afanane na kikarakosi cha mchawi karaba?
Ety wa mwisho au unatupanga tuu.. Hongera sana kwake baby ian❤mwanangu wa mwisho
haha kwani kuzaa si kupangaEty wa mwisho au unatupanga tuu.. Hongera sana kwake baby ian❤
Au basihaha kwani kuzaa si kupanga
ila leo kuna kabaridi have to be careful
@mshamba_mkuu your shemale friend is here calling youAu basi
mwanangu hii ni kumbukumbu tosha. Naiweka ili baadae anahakikisha anakumbuka kheri zote na ndio mrithi wa KijijiForumsJina limenikumbusha rafiki angu fulani Mdachi, cabin attendant wa KLM, Ivan Dors. Wenyewe wanatamka Iwan huko kwao. Ivan wako atakuja kuwa pilot wa ATCL Inshaa Allah!
hahahahaha! Ili kaje kupiga ban baba zake wadogo? Mahakama itaingilia kati.mwanangu hii ni kumbukumbu tosha. Naiweka ili baadae anahakikisha anakumbuka kheri zote na ndio mrithi wa KijijiForuUSE[/USER]
hahaha unahisi atakuwa na tabia za kikunguni kama @mshamba_mkuu ?hahahahaha! Ili kaje kupiga ban baba zake wadogo? Mahakama itaingilia kati.
Kwamba na mimi sitakuwa na mtoto atafanya kazi na dogo mwenzie anaening'inia nowmwanangu hii ni kumbukumbu tosha. Naiweka ili baadae anahakikisha anakumbuka kheri zote na ndio mrithi wa KijijiForums
atafanya kazi na father wake mdogo @Hakimu
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.