Chombezo: ASU WA MICHEPUKO

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

SEHEMU YA KWANZA

Aaaaaahhhh, oooooooooossssssshhh, ussssssssssssssssssssh,oooooooooooooooppppppppssssssssss
Tamu…..kenny aaaaaaah siku,,,,,,,,,achiii Kenny naku….pendaaaaa sana beibiiiiiiii tamuuuuuu
Iikua ni miguno ya kimahaba ya binti asuisa shayo.
Binti aliyeamua kuishi maisha yake kivyake licha ya kua familia yake ilikua na uwezo wa kiuchumi.
Uwezo wa wazazi wake ulimnyima uhuru kabisa wa kufanya mambo yake kama binti, na mara nyingi amekua hajisikii vizuri pindi akikaa na mashoga zake wanaposimuliana mambo kuhusu mapenzi kwani alikua haelewi chochote na alitamani sana apate mwanaume wa kuweza kumfundisha.
“shosti, umemuona Yule kaka”. Aliongea asuisa au asu kama walivozoea kumuita
“eee shosti nimemuona, ni handsome balaa hadi namtamani”. Aliongea rafiki wa asu, mamu aliyefahamika vema kwa tabia yake ya kupenda vigodoro na pia muziki aliucheza vema.
“mmmmh shoga haupitwi? Naitaka namba yake bana, mimi nimempenda”. Aliongea asu huku akimnyooshea mkono kaka mmoja aliyekua amekaa kijiweni na rafiki zake wakiongea mada mbalimbali huku wakicheka na kufurahi.
“mmmh namba yake sina lakini namfahamu anaishi mtaa wa pili hapo kwa mzee kingwe”. Aliongea mamu
“mzee kingwe huyu sonara?” alihoji asu
“eee huyo huyo na mara nyingi anamuacha pale kwenye duka lake la vito mwisho wa lami”. Aliongea mamu na ilionesha anamjua vema sana kijana Yule na mwisho mamu alikubali kwenda kuomba namba ya kaka Yule, kisha angemtumia asu.
Baada ya hapo waliagana kwani mama yake asu alishaanza kupiga simu na kumuuliza asu mahali alipo ambaye alidanganya kwamba ameenda kwa mamu kuchukua kitabu cha histoia.
Usiku wa siku hiyo mamu alikua na mawazo mengi sana kumuhusu kijana Yule ambaye hata hakumjua jina lake kwani ndio ilikua siku ya kwanza kumuona.
Aliendelea kumtafakari kijana Yule na aliapa lazima aweze kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na kijana Yule.

Asubuhi ilifika ambapo asu aliamka mapema na kufanya shughuli zote za nyumbani kwasababu dada wa kazi alikua likizo.
Baada ya kumaliza shughuli zote asu alihitaji kwenda kwa mamu akapate mrejesho wa jambo walilozungumza siku iliyopita.
“mama naoma niende kwa mamu mara moja ana daftari langu”. Aliongea asu.
“we na huyo mamu wako huyo, aaah ila uwahi kurudi”. Aliongea mama mzazi wa mamu bi adelta.
“sawa mama sasa hivi narudi”. Aliongea asu kisha kujiandaa na safari ya kwenda kwa mamu ilianza ambapo haikutumia dakika nyingi sana kwani hapakua na umbali mrefu kutoka kwao hadi kufika nyumbani kwa kina mamu.
Kwa bahati nzuri alimkuta mamu akiwa katika harakati za kutoka kwani alikua ameshajiandaa bado tu kuaga.
“bora nimekukuta shosti, vipi ulifanikisha?” alihoji asu
“eeee naanzaje kushindwa shosti, anaitwa Kenny Yule kaka aliniambia kesho niende na wewe dukani kwao atakuepo yeye”. Aliongea mamu na kisha kumuaga mama yake kwamba anarudi sio muda mrefu.
Baada ya kupata ruhusa mamu na asu walitoka na kwenda moja kwa moja maeneo ya mwisho wa lami ambako ndiko duka la mzee kingwe lilikua likipatikana.
Walifika na kumkuta Kenny akiwa amependeza sana na alipowaona tabasamu lilichanua usoni mwake na kufanya meno yakeangavu na yaliyojipanga vema kuonekana, hii ilitosha kabisa kummaliza asu pia hii ilitosha kabisa kuamsha aibu za asu.
“karibuni viti, manatumia kinywaji gani?” aliongea Kenny kwa uchangamfu.
“mimi naomba sprite”. Aliongea mamu bila kusita
“na wewe dada angu”
“ummmm,mimi kinywaji chochote”. Aliongea asu kwa kujiuma uma Kenny alitambua jambo hilo na aliongea neno ili kumtania
“kwahio nikuletee bia gani”. Aliongea Kenny
“mmmh hapana sijawahi tumia kabisa pombe”. Aliongea asu huku akicheka na kufanya meno yake yenye asili ya kichaga yaonekane barabara na kumfanya akenny apagawe kwani pepo la tama lilishaanza kumuingia Kenny.
“leo utajifunza kutumia kilevi”. Aliongea Kenny
“mmmmh hapana bana kama ndo hivyo mimi naondoka”. Aliongea asu na safari hii hakuonesha hata chembe ya masihara
“basi mrebo yaishe, unajua wewe ni mzuri sana hupaswi kukasirika namna hio”. Aliongea Kenny huku akimpa asu juisi ya embe na kuendelea kumchmbeza taratibu kwa maneno matamu
Ambayo yalimlewesha zidi asu na mwisho alijikuta akiingia mikononi mwa Kenny.

Ngriiiiiiii, ngriiiiiiiiiii, ngriiiiiiiiiiiiiii
Simu ya Kenny ilita ghafla na aliipokea haraka sana
“naam baba! Nyumbani? Sawa nakujaa”. Kenny alikata simu na kisha kuendelea na mazungumzo
“mshua amenipa maagizo niende nyumbani, vipi unaweza kuongozana?” aliongea Kenny
‘bila shaka”. Mamu alijibu kabla ya asu kusema jambo lolote
Baada ya makubaliano hayo Kenny alifunga duka kisha safari ya kwenda nyumbani kwa kina Kenny ilianza ambapo wakiwa njiani waliendelea kupiga stori za hapa na pale.
Lengo ilikua ni midomo yao kutonuka pia kuifanya safari iwe fupi.
Mazungumzo ya Kenny yalimlenga zaidi asu hata mamu alitambua hilo, walipokaribia kufika nyumbani kwa kina Kenny mamu aliweza kupigiwa simu na mama yake kwamba arudi nyumbani haraka sana.

“sasa shosti, mama amenipigia simu anasema niwahi kurudi yeye aenda kwenye vikoba”. Aliongea mamu
“kwahio!!?” alihoji asu
“mimi narudi nyumbani wewe ongozana na Kenny”. Aliongea mamu
“aaah ndo nini sasa shosti, mimi sitaki bana aaah!”. Aliongea asu kwa kudeka
“twende basi ukapafahamu hata nyumbani basi bebi”. Aliongea Kenny kwa kujiamini huku akimkazia macho asu ambaye alianza kuona aibu
“embu toka huko nani bebi wako, mimi narudi zangu nyumbani”. Aliongea asu na kumfanya Kenny aone mambo yameshaanza kuchacha.
Kisha asu akageuka na kuanza kuondoka, Kenny hakusita kumshika mkono asu na kumsogeza karibu kish akumpiga busu ambalo lilimsisimua sana asu
“twende basi malaika wangu”. Aliongea Kenny maneno ambayo asu hakuwa na hoja ya kuyapinga wakati huo walikuaa wawili tu mamu alikua kashaondoka.
Walikatiza vichochoro kadhaa na kisha ndani ya dakika chache asu na Kenny walikua kwenye chumba huku Kenny akiwa bize kunyonya tompoo ya asu kisha akafuata kitovu chake ambacho alikinyonya kwa ustadi wa hali ya juu na kumfanya asu atoe miguno ya kimahaba
Aaaaaahhhh, oooooooooossssssshhh, ussssssssssssssssssssh,oooooooooooooooppppppppssssssssss
Tamu…..kenny aaaaaaah siku,,,,,,,,,achiii Kenny naku….pendaaaaa sana beibiiiiiiii tamuuuuuu

Kenny aiuchukua mkuyati wake na kuuzamisha kwenye tompoo ya asu lakini alishangaa kuona mkuyati ukigoma kuingia huku asu akilia kwa maumivu.

Je nini kilifuata
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Tujuane tunaosubiri muendelezo 🙋‍♀️
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
@Leejay naskia kule jijini wadau wamenogewa na avatar yako wanaomba ikaekae naona wanateseka sana...hawajui huku kuna bwana kenny( @Katkit ) amekula kimasihara hadi kusababisha uzimie uliporudi shule kusikia mnapimwa ujauzito 🤣🤣🤣
 
mmash

New member
Joined
Jun 26, 2023
Messages
37
Reaction score
101
Points
0
SEHEMU YA KWANZA

Aaaaaahhhh, oooooooooossssssshhh, ussssssssssssssssssssh,oooooooooooooooppppppppssssssssss
Tamu…..kenny aaaaaaah siku,,,,,,,,,achiii Kenny naku….pendaaaaa sana beibiiiiiiii tamuuuuuu
Iikua ni miguno ya kimahaba ya binti asuisa shayo.
Kweli ASU ni wamicheps haswa,hapo mwanzo tu tyr nishaanza kusimamishwa mapeema kabisa,....hivi swahiba wangu Antonnia huku bado hajaalikwa?.....
@Gily nakupa hio kazi ya kuniletea swahiba humu na wengineo wapenda kwichi²,
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
@Leejay naskia kule jijini wadau wamenogewa na avatar yako wanaomba ikaekae naona wanateseka sana...hawajui huku kuna bwana kenny( @Katkit ) amekula kimasihara hadi kusababisha uzimie uliporudi shule kusikia mnapimwa ujauzito 🤣🤣🤣
Watu wa mjini hawaelewi,, wa kijijini tu ndo tunalijua hilo🤣🤣🤣🤣
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0

Dr santos

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
251
Reaction score
571
Points
0
SEHEMU YA TATU (03)

ILIPOISHIA; Taarifa ya upimaji wa ghafla wa ujauzito ndiyo iliyomuweka roho juu asu hadi kupelekea kupata mstuko wa ghafla ambao ulisababisa apoteze fahamu papo hapo na alikimizwa haraka hospitali huku damu nyingi zikiwa zinamtoka kwenye jeraha lililotokana na kujibamiiza kichwa sakafuni

SASA ENDELEA; “mungu wangu”. ni maneno aliyosema mama asu mara baada ya kupigiwa simu na mama mlezi wa wanafunzi katika shule ya sekondari mbuyuni, ambapo ilimlazimu pia ampigie mume wake ambaye alikua kazini kwa wakati huo.
Pia baba asu alizipokea taarifa hizo kwa mshtuko wa hali ya juu kwani alimpenda sana asuisa kuliko watoto wengine wote kwani ndiye binti wake wa kwanza.

“nini kimempata mwanangu hadi aanguke”. Alijiuliza maswali baba asu akiwa ofisini lakini haoakua na mtuyoyote wa kumjibu, akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa secretary aliingia ofisini na kumkuta mzee shayo akiwa katika hali hio
“ bosi samahani kwa kuingia bila hodi, lakini ile kazi uliyonipa nimeshaimaliza mafaili haya hapa”.
Aliongea msaidizi wa bosi kwa kujitetea kwani alijua kwamba aefanya kosa.
“ok, ila kuna kazi nataka nikupe tena mimi natoka mara moja binti yangu anaumwa”. Aliongea baba asu
“sawa bosi nipe tu maana sina kazi yoyote”. Aliongea secretary
“sasa naomba orodha ya washika dau na wamiliki wa hisa pia wanaodaiwa na kampuni”. Aliongea mzee shayo na kisha aliaga na kutoka.
Hakupita nyumbani bali aliunganisha moja kwa moja hospitali ya amana ambako ndiko alikolazwa asuisa.

Alifika na kumkuta mama asu akiwa kwenye benchi pamoja na matroni ambaye ndiye mama mlezi wa wanafunzi upande wa kike.
“habari za saa hizi”. Alisalimia baba asu ambapo baada ya salamu kujibiwa alihitaji kujua hali ya asu pia chanzo cha tatizo.
“kwa muujibu wa daktari binti anaendelea vizuri na tunaweza kuruhusiwa jioni ya leo”. Aliongea matroni aliyejitambulisha kwa jina la suzana
“sawa madam, ilikuaje mpaka likatokea hili”. Alihoji baba asu mzee shayo.
“kiukweli ilikua ni ghafla tu kwani hakua akiumwa chochote hata mimi sikua na taarifa za kuumwa kwake”. Aliongea matron.

Daktari alitoka na kuwaita wazazi wa asu ambapo waliinuka na kumfuata daktari hadi ofisini ambapo walikaribishwa viti na kuketi kisha daktari alianza na kuwapa pole wazazi kisha kuendelea na mazungumzo kumhusu asu.

“vipimo vya awali vinaonesha binti yenu hana tatizo lolote, lakini katika maelezo yake tumegundua kwamba ana tatizo ambalo kitaalamu linaitwa (hysteria) hili linatokana na msichana kubanwa na kukosa muda wa kubadili mawazo na wanaume au watu wa jinsia tofauti na yeye”.

Aliongea daktari kwa kirefu na kuwafanya wazazi wa asu wabaki midomo wazi kwani mambo aliyoyazungumza daktari yalikua ni mageni kabisa kwa upande wao
“kwahio tiba yake ni nini”. Alihoji baba asu
“msimnyime uhuru pia anahitaji marafiki wengi zaidi ili kumuondolea hali ya msongo wa mawazo na matatizo mengine ya kisaikolojia”.
Alimaliza daktari huyo kisha aliwapeleka kwenye chumba alicholazwa asu na kwa bahati nzuri alilazwa kwenye chumba cha watu maalum kwa sababu alikua na sare za shule.

Majira ya saa tisa alasiri waliruhusiwa kutoka hospitali ambapo asu na wazazi wake walienda moja kwa moja nyumbani na baba asu aliendashuleni na kumumbea ruhusa asu hadi atakapotengemaa ndipo arudi shule.

Zoezi la upimaji wa ujauzito kwa wanafunzi lilimalizika pasina mwanafunzi yoyote kupatikana na ujauzito.
Jambo hilo halikuwahi kutokea kabisa katika shule ya mbuyuni, ilikua ni mara ya kwanza kwa zoezi la upimaji mimba kumalizika bila kumkamata mwanafunzi yeyote.

zilipita siku kadhaa, ambapo hali ya asu ilitengemaa na alikua buheri wa afya kabisa.
Hatimaye asu aliweza kurudi shule kama kawaida na safari hii alikua mchangamfu zaidi ya awali lakini alipanga kurudi kivingine kabisa.
Kwanza alihitaji kuvuja urafiki na watu ambao walikua wakimpeleka pabaya, makundi a kihuni na kufuata mkumbo hakuhitaji tena.

“shosti siku hizi uko vizuri kunitenga”. Aliongea mamu siku moja wakiwa wamekutana kantini

“aah wapi shosti mambo mengi muda mchache, vipi lakini maisha”. Aliongea asu

“poa tu, vipi bado mnawasiliana na Kenny?” alihoji mamu

“mxeeeewwww!!! Yule mwanaume sitaki kulisikia hata jina lake, hivi kwanini umezileta hizo mada zake “
Alisonya asu kisha kuongea kwa gadhabu lakini moyo wake ulimuuma kiasi

“nisamehe rafiki sikujua kama nitakukwaza, lakini anakuulizia kila leo”. Aliongea mamu na kumfanya asu afarijike kidogo moyoni baada ya kusikia Kenny alikua akimuulizia

“mmmh ananiulizia anataka ni ni sasa, si nishamwambia simtaki”. Alianza kujiuliza maswali hadi kupelekea aduwae kwa muda kabla ya kengele ya kurudi madarasani kugonga

“shosti nitakuja leo kukutembelea, kama wazazi wataniruhusu”. Aliongea asu kisha waliagana na mamu ambapo kila mtu alienda kwenye darasa analosoma kwani walikua wakisoma madarasa tofauti.

Muda wa kuondoka uliwadia ambapo asu aliwahi kurudi nyumbani kwa sababu hakupitia popote, alipofika nyumbani alikuta chakuka ambapo alikuala na kisha kubadili nguo kisha kuaga skwamba anaenda kwa mamu kwani alimahidi kwamba angeenda kumsalimu siku hiyo.

Baada ya kuruhusiwa na wazazi wake kwa sharti moja tu! kuwahi kurudi asu alizipiga hatua zake kuelekea nyumbani kwa kina mamu ambapo alifika na kubisha hodi lakini alipokelewa na ukimya wa hali ya juu, na alipojaribu kufungua mlango ulikua ukifunguka.
Alifunga mlango na kuzipiga hatua zake kuelekea kwenye uwa wa nyumba hio, pasipo kutarajia alikutana uso kwa uso na Kenny akiwa ametoka kwenye chumba cha mamu, alivalia taulo jepesi na ilionesha anaenda kuoga kisha kwa ujasiri alimsemesha asu

“wewe kinyago umefuata nini hapa”.
Alohoji Kenny swali ambalo liliupasua kabisa moyo wa asu ambapo alijikuta akitetemeka mikono na miguu asijue cha kufanya.
Mamu alitoka nje akiwa ndani ya kanga moja kwa lengo la kwenda kuoga na Kenny kisha alikutana uso kwa uso na asu.

Je nini kilifuata
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Sawasawa,, ngoja niwaite...ila naogopa ban mwenzio 😊🙈🙈
Ukiweka link PM hamna shida yoyote ila ukiweka public kama kutengeneza uzi ukaupost au kuweka link kwenye reply’s(Comments) hapo ndio itakuletea shida utapigwa ban kweli....Nimekuomba wewe utuitie wadada wenzio kwani itakua rahisi kwa wao kufungua PM ila tukiwaomba sisi wakiume watazingua kwa sababu watahisi tunataka kuwatongoza ndio shida iliyopo!

Ahsante kwa ushirikiano wako dada yetu kipenzi...😘😘
 
Jamani jamani jamani 😋🤗🤗
 
Similar threads

  • Article Article
JOSE MKUNAJI SEHEMU YA KWANZA Ni mchana tulivu kabisa huku kila mtu akiendelea na mihangaiko na shughuli za hapa na pale zikiwemo za kuongeza kipato kwa waliokua nacho na hata wasiokua nacho nao walichakarika ili tu waweze kutia mkono kinywani. Wingu zito llianza kutanda kwa kasi likiashiria...
Replies
8
Views
242

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom