Dabi ya Simba na Yanga (Ngao ya jamiii 2023) Tanga (SIMBA 3 YANGA 0 - Penalt)

Half time

Simba 0
Yanga 0
 
we ni mshabiki wa simba bila shaka ila utaona tutakachowafanya
 
Nipo kutoa matokeo wenye moyo mwepesi tafadhalini kunyweni maji

Penalty ya Kwanza kipa giara kipigwa na mchezaji wa Simba mzamiru yasiiiin

Goooooooooooooool
 
Penalty ya Kwanza kwa Yanga kipa Ally salum ilipigwa na mchezaji wa Yanga Aziz ki

Goooooooool
 
Aucho Anakosa Penalty
 

Similar threads

kocha mpyaaaaaaaa tutegemee makubwa wana msimbazi
Replies
2
Views
958
Naona kabisa baada ya ile sare na dynamo na kiwango Cha jumla Cha wachezaji naona kabisa Uongozi unafikia makubaliano ya pande zote mbili.. Naona kabisa
Replies
6
Views
500
Askari Muhifadhi daraja la tatu, Charles Mafuru amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na simba dume anayedaiwa kutoroka katika Hifadhi ya Taifa Ruaha. Askari huyo amejeruhiwa katika Kijiji cha Ilamba wilayani Kilolo katika mapambano ya kuudhibiti simba huyo anayetajwa kula mifugo. Akizungumza...
Replies
3
Views
565

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top