Faida za kuwa single

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
- Kuwa na maisha kamili/ full.

- Kufanya maamuzi haraka, haina aja ya kushirikisha mtu.. mfano umepata kazi inayo kutaka kuama mkoa nk

- Imarisha kazi au biashara yako bila kizuizi chochote,

- Ishi maisha kwa njia yako mwenyewe.

- Ishi bila kushughulika na fujo za mtu yeyote.

Ongeza zingine
 

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Sio faida ya kua single ila napenda sana kuwa mwenyewe sababu nachukia karaha za mtu kuhamisha kitu ninapoweka au kupanga, mfano umetandika kitanda mtu atalala akiamka asiweke alivokuta😂😂😂😂 ngoja aje @gilly aniambie hii ni phobia gani
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Sio faida ya kua single ila napenda sana kuwa mwenyewe sababu nachukia karaha za mtu kuhamisha kitu ninapoweka au kupanga, mfano umetandika kitanda mtu atalala akiamka asiweke alivokuta😂😂😂😂 ngoja aje @gilly aniambie hii ni phobia gani
hii sio phobia ni tabia mbaya😁
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Hhahah mimi hili ni tatizo asee yan hua nawaka ndani mpaka madogo washanizoea akivururuga tu kitu wanajua nnavyo mind
watu wanamna hii mnaenjoy sana pale mtu akiwasaidia kwenye mambo madogo madogo... nasubiri ubishe!
 

Urban Edmund

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 26, 2023
Messages
636
Reaction score
1,321
Points
0
Usingle nimeuzoea kwa kweli kosa kuwa na mtoto sidhaani kama kuna siku ningekuja kuoa
 

Similar threads

Matunda mengi yana manufaa lakini tango linaonekana kutia fora kwa manufaa katika mwili wa binadamu. Kutokana na faida za Tango, unashauriwa kula tango kila siku, utaona manufaa yake. Kupunguza hatari za saratani Unywaji wa juisi ya tango hupunguza hatari ya saratani kwa wanawake hasa saratani...
Replies
7
Views
238
Tofali la kuchoma Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutengeneza tofali la udongo na kulichoma kwa kutumia moto. Tanuri ya matofali unafunikwa kwa gana la udongo nje na chini yake moto inawaka kwa siku 2 au 3. Kutengeneza matoli wa njia hii ina gharama zaidi laini matofali yaliyochomwa...
Replies
0
Views
266
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo. Virutubisho katika papai Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C, Vitamini A, Vitamini B9, Potasiamu, Kalsiamu na Magnesiamu. Faida...
Replies
5
Views
129
Watu wengi wameendelea kuzungumzia suala la maadili, hasa kwa vijana. Kwa mfano hili wimbi la panyarodi linaloendelea kutajwa kwa vitendo viovu, hii ni miongoni mwa sababu kubwa ya mmomonyoko wa maadili. Inaonekana dhahiri baadhi ya wazazi wameshindwa kutimiza jukumu la malezi ya watoto wao...
Replies
10
Views
177
Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini. Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na: 1: Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6...
Replies
6
Views
213

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom