- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
Wakuu napenda sana magari, na nazani nikipata kibunda ntaanza na gari nyumba baadae,
Mwanzo nlikua napenda sana Forester Subaru kwasababu masela wengi nlio kua nao wanayo kwahyo nisha yapanda sanaa, na kuendesha kidogo...
Ila kwa sasa gari iliyoko kichwani kwangu ni VW Touareg ya 2011, nlilipanda mara kama mbili nkiwa nafanya field AICC, nililipenda sana nalitamani sana
Nmeangalia bei yake iko juu(kwa upande wangu) ila naamini ntaunyaka one day....
Kwakua najua mshamba_mkuu atakuja kusema haiwezekani mimi kuipata hii gari, basi acha niseme IST ntakula na wewe saani moja...
Unapenda gari gani?