- Joined
- Jul 3, 2023
- Messages
- 1,883
- Reaction score
- 3,969
- Points
- 113
Hagai : Mlango 2
9 Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi.Nakusalimu kwa jina la Yesu.
Kwa wewe unaesoma uzi huu usikubali hata siku moja kurudi nyuma, kukata tamaa, kuchoka maisha, wala kuacha kupambana..
Mbele yako ni nzuri, milango iko wazi kwaajili yako, endelea kupiga hatua, atakama hauoni dalili ila jinsi giza linavyozidi kuwa zito ujue nuru ndio iko karibu zaidi,,,,
Utukufu wa mwisho ni mkubwa kuliko wa kwanza, kesho nibora kuliko jana, mbele kuna amani, mbele kuna furaha, mbele kuna fedha, mbele yuko mweza wa yote, tadhama mbele, MUNGU AKUBARIKI.