Hata mwanamke hupatwa na ngiri

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,622
Reaction score
26,437
Points
113

Muktasari:​

  • Lissu ataka viwango vya kkodi kuangaliwa upya, kwa kuwa wazi ili anayelipa ana anayekusanya ajue ni kiasi gani.
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mfumo na viwango vya kodi vinapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.

Lissu ameeleza hayo leo Jumatano Julai 5, 2023 alipokutana na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na kuzungumza nao.
Amedai kilio cha wafanyabiashara wengi kinatokana na maamuzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hivyo kubana haja ya kubadilisha mfumo wa ulipaji kodo.

Kitaifa
Lisu atinga Kariakoo, azungumzia kero viwango vya kodi
Jumatano, Julai 05, 2023

Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu akiwa na wafanyabiashara wa soko la Kariakoo alipokutana nao kuzungumza masuala mabalimbali ikiwemo ya kodi.
New Content Item (1)
By Fortune Francis
Mwandishi wa Habari

Mwananchi

Muktasari:
Lissu ataka viwango vya kkodi kuangaliwa upya, kwa kuwa wazi ili anayelipa ana anayekusanya ajue ni kiasi gani.
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mfumo na viwango vya kodi vinapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.


Lissu ameeleza hayo leo Jumatano Julai 5, 2023 alipokutana na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na kuzungumza nao.

Amedai kilio cha wafanyabiashara wengi kinatokana na maamuzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hivyo kubana haja ya kubadilisha mfumo wa ulipaji kodo.

ALSO READ
DC Kigamboni ataka wazazi kuhusika chakula shuleni
Kitaifa 5 hours ago
Waandamana wakidai kudhulumiwa ardhi Dodoma
Kitaifa 5 hours ago
“Haya masuala yanahitaji mabadiliko ya mifumo wa ulipaji kodi na sheria zetu za kodi, vilevile yanahitaji mabadiliko ya wakusanyaji wa kodi,”

Lisu amesema vilevile kunahitajika mabadiliko ya wakusanya kodi na kuwa na watu wenye weledi.

“Tunapaswa kubadilisha watendaji wetu wasiofaa waondolewe, watakaofaa waajiriwe, kiujumla tunahitaji watu watakaokuwa na haki,”amesema Lissu.

Lissu ametembelea soko hilo la kimataifa ikiwa ni zaidi ya mwezi upite tangu Mei 15, 2023 ambapo Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa aliongea na wafanyabiashara hao kwa mara ya kwanza baada ya mgomo wa kupinga ushuru mpya wa stoo na kero mbalimbali kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Hata hivyo, Majaliwa aliagiza kusimamisha kikosi kazi cha TRA kilichokuwa kinakusanya ushuru sokoni hapo huku katika kikao chake cha pili kilichofanyika Viwanja vya Mnazi mmoja aliunda kamati ya kushughulikia kero hizo.

MWANANCHI
 

Similar threads

Wakuu ni uwakika? Mimi niko gud Mungu ni mwema. Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri.. Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia...
Replies
12
Views
318
Nikibarua gani kwako kitakuwa kipengele kigumu kufanya Binafsi kuzibua chemba
Replies
25
Views
450
Mwanamke pichani anataka kujiua kwa sababu mumewe anataka waachane kaparta mke mwingine. Je katika wanaume wanne yupi pichani yupi ni mumewe?
Replies
14
Views
339
Wakubwa shkamooni! Kiujumla inadaiwa wanawake ndio wana uo uwezo wa kutunza hela kuliko wanaume.. kwaili nakataa labda kama wanazungumzia wanawake wa zamani... Hawa wa siku hizi wanaspend sana kuliko men, wananunua kila kitu kilicho mbele yao, sijui ni ugonjwa? Kwa sisi men tuko vizuri mno...
Replies
33
Views
714
Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri 1. Sehemu za siri zinajisafisha zenyewe Idadi kubwa ya wanawake, wana imani kuwa wakitumia bidhaa mbalimbali za urembo, kama sabuni basi ndio watajisafisha vizuri sehemu za siri. Hakuna haja ya kutumia chochote kusafisha sehemu ya...
Replies
12
Views
254

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top