Hivi kuua wanyama kikatili au wadudu ni dhambi?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Leo tu alijipitisha mdudu sikumpenda nikamkanyanga na kumsambaratisha, baada ya hapo nikasema wewe lazima ulikuwa ni mzee maana isingelikuwa hivyo basi ungeishi, pia nikawaza kuwa hakujua kuwa ndio mwisho wake

Nikafikiri pia kuua wanyama wengine kiukatili ni dhambi?
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
sio sawa kuua kiumbe hai bila sababu ya msingi au kukitesa, kwa makusudi....

kwa vile tunaishi mara moja tu, basi maisha yana thamani kubwa....

hivyo basi kila kiumbe hai kina haki ya kuishi.
Kwaiyo ni dhambi au sio

Wanyama ndio wanaishi mara moja ila binadamu tupo milele
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
sio dhambi, ila Mungu ni pendo, na sisi tunapaswa kuishi kwa upendo, popote unapokua unapaswa uambukize upendo kwa kila kitu aiwezekani wewe ulie umbwa kwa upendo wa Mungu kitendo chakukutana na mdudu, ndege n.k ndio ukawa mwisho wao,,,
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
sio dhambi, ila Mungu ni pendo, na sisi tunapaswa kuishi kwa upendo, popote unapokua unapaswa uambukize upendo kwa kila kitu aiwezekani wewe ulie umbwa kwa upendo wa Mungu kitendo chakukutana na mdudu, ndege n.k ndio ukawa mwisho wao,,,
Perfect mkuu, ahsante kwa fundisho
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
watu wa maliasili wakipita kwenye huu uzi wajue kuwa mimi binafsi na mods hatuhusiki kwenye kesi hii ya mauaji umefanya mwenyewe kwa akili zako timamu😬
 

Poor brain

New member
Joined
Jul 3, 2023
Messages
120
Reaction score
344
Points
0
Ni dhambi kubwa mno..
Ndio maana hata kwenye kuchinja basi inabidi ufanye kwa kisu kikali..

Ipo hivo hivo kwa wadudu na wanyama wakali.. kama kumuua mpige kichwani afe mapema

Sio kumtesa sana what next na kile ni kiumbe hakina utashi
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ni dhambi kubwa mno..
Ndio maana hata kwenye kuchinja basi inabidi ufanye kwa kisu kikali..

Ipo hivo hivo kwa wadudu na wanyama wakali.. kama kumuua mpige kichwani afe mapema

Sio kumtesa sana what next na kile ni kiumbe hakina utashi
Ndio maana kuna haki za wanyama. It's so sad how people are killing animals unnecessarily
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Naona mnenipopoa sana kunaviumbe havitakiwi kuwepo kabisa
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
aisee, nikimuona nyoka na huyo mdudu
namuua beetle namuacha nyoka
Nilikutumia video nilivyofuma mbao hukuona?

Piga dawa mzee usipofanya hivyo unaangusha paa lote. Piga juu kwa juu hakikisha wiring ya umeme iko kwenye bomba na loose wires zibane na tapes.
 

Similar threads

Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
4
Views
376
Wakuu mko gud? Mimi niko gudi kabisa na mshukuru muumba wa mbingu na nchi niko mzima, na nina furaha na amani, nmeshiba, na nina kama afu kumi na tatu za kenyA mfukoni😊 Najua mpaka hapa nitakua nimeshakwaambukiza ka furaha na ka amani kwa wote ambao hamko sawa😀 Kumekuwa na misemo ya hekima...
Replies
9
Views
457
Wakuu mko poa, nawasalimu kwa upendo,,, Hivi umewai kujiuliza kama dunia ingekua haina kurupushani ingekuwaje? Yani kila kitu ni kamserereko, kila kitu ni chema, no pain, hakuna usaliti, hakuna kulia yani ni furaha tu, yani suala la uongo lisiwepo kabsa, wizi wizi huu na uonevu wote hamna...
Replies
20
Views
485
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
414
  • Question Question
Naomba mnisaidie kama kuna faida yoyote sisi kama wa Tanzania tunapata kupitia mahusiano yetu na Russia ... Ili swali limekuja baada ya kuona Mh. waziri mkuu Kassim Majaliwa ameudhuria kwenye mkutano huko Russia(The Russia Africa Summit 2023).. Pia nkajiuliza kuudhuria huko kwa mh. waziri mkuu...
Replies
5
Views
390

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom