Huu mjadala wa kwenye daladala ni wakweli?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Hamjambo? Mimi sijambo 😃.

Wakuu nimekutana na mjadala asubuhi wakati naelekea katika shughuli za watu hizi...
Mjadala ulikua mzito, ndio mara ya kwanza kukutana na mjadala kila mtu anauchangia kwenye gari.. yaani walikua wanaushambulia haswaa..

Mjadala ulianza baada ya daladala nliyokua nimepanda kusimama kwenye mataaa ( mitaa ya philips)..
Ulikua hivii baada ya kusimama wakaja wale walemavu(alikua kipofu anaongozwa na kijana) akaanza kuomba msaada kwa dirishani..
Jamaa mmoja akatoa hela akampa... sasa mama mmoja aliyekua pembeni yayule kijana alietoa hela akaanza kuongea akimshauri kwanguvu na kwa msisitizo sana yule kijana "kijana usiwe unatoa hela kwa hawa watu, hawana shida hao kuna mmoja namjua anayo gorofa kwakutumia kuomba"...

Baada ya uyo mama kusema hivo ikawa kama kafungulia koki yaani watu wakaanza kumiminika.

Mwingine anasema hizo hela wanapelekaga maduka ya wahindi, mwingine anasema hizo hela zinapelekwaga kwa waganga kuiba nyota za watu.
Yaani maneno yalikua mengiii...
Ila kwa ujumla karibia wote walikua wanasema sio poa kuwapa wale ombaomba hela, nakujazia kuwa kama unataka kusaidia watu nenda hospitalini..

Vp unalionaje hilii.. au na wewe uko upande mmoja na wale abiria?
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Kuna mwanamke alimpa omba omba hela akajikuta yuko Beach salender darajani.

Watu wakampa msaada kumleta alipokuwa wakakuta gari iko barabarani kwenye foleni.

Inafikirisha
Kweli sijakuelewa mkuu
 

Similar threads

habari zenu.. nimekuwa mtu wa mashaka sana kuingia kwenye maisha ya kuishi na mwanamke,mimi ni mkiristo huwa nafikiriaga sana kubadili dini ilinipate mwanamke aliyeshikilia dini sana,kwa sisi wa kristo huwezi pata mwanamke aliyeshikilia dini haswa,kuna walio okoka ila dini hawajui kwenye...
Replies
18
Views
427
Nawasalimu 👋 Share muvi au series unayo angalia now... Kwasasa nacheki "The book of Eli" - 2010.. Kama itaisha vizuri ntaangalia "Extration ii" - 2023
Replies
11
Views
574
Wadau, Bila shaka tumeona 99% ya waliofanya mtihani wamefaulu, Ufaulu wa juu kuliko miaka yote je? Walimu wapewe Maua Yao!? Wanafunzi wapewe kongole? Au Baraza la mitihani kwa kutunga mtihani mzuri? Au tuipongeze serikali?
Replies
9
Views
260
Kumekuwa na sito fahamu kwa wapinzani kuona yanga wapo kimya,ila labda nikuambie sisi yanga msimu huu tumehamua kufanya mambo yetu kimya kimya yani kama mafia vile. Kwanza tumemtambulisha mchezaji mmoja mpaka sasa kibabage. Yani wapinzani wanajiuliza mbona yanga hatuoni wakisajili na...
Replies
7
Views
140
Muktasari: Threads ambayo ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayomilikiwa na Mark Zuckerberg’s ambapo imepata umaarufu mkubwa baada ya kupata watumiaji wengi ndani ya muda mfupi. Dar es Salaam. Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6...
Replies
17
Views
877

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom